Ontario una kipaji sana, ushawishi wako ni kama mganga wa kienyeji au wachungaji feki

Status
Not open for further replies.
Moyo utakuchoma sana na utakufa kwa wivu? unajisifia familia, unajisifia kuprinti tsht ambazo naweza kujifunza youtube, unajisifia biashara ndogondogo ambazo hata mimi nafanya

mimi najisifia degree ambayo mpaka unakufa huwezi kuipata, najua ulisoma ila F F F F unazo za kutosha koo kaa pembeni

ha ha ha ha... wewe bwege kweli unahisi sina degree? na kama nikiwa nayo nikufanyeje.. unaweza kuta unajisifia degree kumbe ya vyuo vya kata.. haya sasa degree ninayo tena ya chuo mnachokiita bora hapa Tanzania sema lingine.. na kuonesha nimeelimika nimejiajiri biashara 5 tofauti.. na ajira nilizowai kuzifanya ni sehemu ambazo ni ndoto kwa graduates wengi hata kujitolea tu... kama unajiamini upo vizuri tuonane na mashahidi member humu tuone nani amefanikiwa...

degree ni makaratasi tu sio ya kumtisha mtu... mimi hata siiongeleagi sababu sio ishu zama hizi... naongeleaga biashara zangu nilizoanzisha mwenyewe

mbona unakwepa tuonane tujue nani mkali wa kusaka mali
 
achana nae nyumbu huyo.. anaona watu mazuzu.. ndugu zake maskini na yeye mwenyewe maskini mimi nimejitolea tushindane nae maisha jina halisi nalitaja na tuonane tunapoishi na mali tunazomiliki... nani kamzidi mwenzake...

anafikiri watu mazuzu humu

kaka kwa taarifa yako familia yetu wote WASOMI HAKUNA MASKINI HATA MMOJA, tupo wa watoto tatu TU, na wa mwisho yupo chuo mwaka wa 1, jipange tena
 
Uyo sio Ontario jamaa namjua niko nae group moja la Forex tunapiga Hera sasa kinachoshangaza watu mwenyewe wanaoifanya Forex awararamiki lakini wengine wasiohusika ndio wanararamika sasa hii kitu mbona aingii kichwani
[emoji23] [emoji23] unapiga hela wakati baba yako anakufa njaa kijijini
 
ha ha ha ha... wewe bwege kweli unahisi sina degree? na kama nikiwa nayo nikufanyeje.. unaweza kuta unajisifia degree kumbe ya vyuo vya kata.. haya sasa degree ninayo tena ya chuo mnachokiita bora hapa Tanzania sema lingine.. na kuonesha nimeelimika nimejiajiri biashara 5 tofauti.. na ajira nilizowai kuzifanya ni sehemu ambazo ni ndoto kwa graduates wengi hata kujitolea tu... kama unajiamini upo vizuri tuonane na mashahidi member humu tuone nani amefanikiwa...

degree ni makaratasi tu sio ya kumtisha mtu... mimi hata siiongeleagi sababu sio ishu zama hizi... naongeleaga biashara zangu nilizoanzisha mwenyewe

mbona unakwepa tuonane tujue nani mkali wa kusaka mali

kashindane na wenye roho mbaya wenzako
 
acha bla bla tuonane na mashahidi wawepo.. kama upo tayari tuanzishe uzi wa kualika mashahidi... mimi najitolea mafuta na gari la mizunguko yote... tunaoneshana maisha tunayohishi.. mnakuja kwangu.. tunaenda kwako, kisha tunaanza asset tunazomiliki na documents zake.. tutajua nani mkweli..

kama kweli unapataga laki mbili kwa siku forex mbona unakuwa muoga.. au huna unachomiliki?

kaka kwa taarifa yako familia yetu wote WASOMI HAKUNA MASKINI HATA MMOJA, tupo wa watoto tatu TU, na wa mwisho yupo chuo mwaka wa 1, jipange tena
 
ha ha ha ha... wewe bwege kweli unahisi sina degree? na kama nikiwa nayo nikufanyeje.. unaweza kuta unajisifia degree kumbe ya vyuo vya kata.. haya sasa degree ninayo tena ya chuo mnachokiita bora hapa Tanzania sema lingine.. na kuonesha nimeelimika nimejiajiri biashara 5 tofauti.. na ajira nilizowai kuzifanya ni sehemu ambazo ni ndoto kwa graduates wengi hata kujitolea tu... kama unajiamini upo vizuri tuonane na mashahidi member humu tuone nani amefanikiwa...

degree ni makaratasi tu sio ya kumtisha mtu... mimi hata siiongeleagi sababu sio ishu zama hizi... naongeleaga biashara zangu nilizoanzisha mwenyewe

mbona unakwepa tuonane tujue nani mkali wa kusaka mali
Weka picha ya iyo degree
 
acha bla bla tuonane na mashahidi wawepo.. kama upo tayari tuanzishe uzi wa kualika mashahidi... mimi najitolea mafuta na gari la mizunguko yote... tunaoneshana maisha tunayohishi.. mnakuja kwangu.. tunaenda kwako, kisha tunaanza asset tunazomiliki na documents zake.. tutajua nani mkweli..

kama kweli unapataga laki mbili kwa siku forex mbona unakuwa muoga.. au huna unachomiliki?

Nishakujua ulivyo, sifa tuuuuu, mkuu NAFANYA FOREX na SIACHI FFOREX
 
mjinga wewe ningekuonesha mtaani tunavyosaka hela kwa jasho sio bla bla eti laki 2 faida kwa saa... unaijua laki mbili wewe kwa saa wewe...

watu under 30 tu ila tuna drive,tuna familia, tunasomesha, tunajenga, tuna biashara ndogo ndogo za jashoooo...

sio dume zima kama demu unajivunia mafanikio ya mwalimu wako... jivunie vya kwako...

na hayo mafanikio ya uliyemtaja mnamchangia nyie mazuzu ada zenu hizo... yeye haziweki forex anaenda ziwekezea kwenye real business zinazo solve real problems kama kilimo...

njoo nikufundishe hata kuprint tshirt bure ukajikomboe bwege wewe... usipende pesa za kufikirika...

toka jasho upate hela hata ukishushia na bia yako baada ya kazi nayo inakuwa inavuja jasho
Mkuu usiwe unapenda vitu vya bure ww ulitaka Onta asitose ada yoyote? Ww unajua gharama za kupagisha Room Os'bay kwa ajili ya hilo darasa?

Jamaa kwenye thread yake ya kwanza alitahadharisha akasema ni biashara ambayo ma bank mengi haitaki watu waijue.. Sasa nawasiwasi na baadhi ya mabank yamesha mshtukia jamaa, watu kama nyie mnatumwa kuja kuchange upepo kwenye mitandao..

Wanasema forex ni kimbunga kinakuja huwezi kukizuia kwa viganja..

Ontario ana vibali vyote vya kuendesha biashara kama ni tapeli kwanini hadi sasa hivi yupo mtaani, wakati ofisi zake zipo karibu na makao makuu ya usalama wa taifa?

Kuendekeza chuki kwa jamaa ni kujipa presha wee relax

Cc Jestkilla
 
Bora useme na wewe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom