DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Dogo umeoga!?Kuna madomo zege wanatuma interview km Kiki ntaenda nao bampa to bampa
Wa kishua
Haya kakojoe ulale!
DJ sepetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dogo umeoga!?Kuna madomo zege wanatuma interview km Kiki ntaenda nao bampa to bampa
Wa kishua
Kuwa na jamaa kama huyu nitakuwa nimerogwa!Demu ndio alifanya interview ya mwisho?!....OMG
Goma lipo uwanjan, mi siogopi raiaKweli mtoto mtoto tu hata unavyo-sound kweli umetoka kidato cha sita.
Mpaka mfungue vyuo kazi tunayo.
Uache kunichafua ndugu yangu. Sina jamaa yoyote hapa jf.Ooh huh demi karibu malikia wa nyumba
Wa kishua
Jipu! Inamaana wewe mgeni na mambo hayo?Kwahyo Humu Watu Wanamegana Kama Kawa Siku Hizi
Bangi alinifundsha demu wangu unataka umjueeBangi bangi bangii,...
Ii jaa kaa laa maa naaEe Fa Ga Ha........[emoji13] [emoji13] [emoji13]
aaaaaaah aaaaaaah Maserati my heart krbMke mwenza....ni nani huyo??
Madem wapo wengi wanagandana na wa kwanguEe Fa Ga Ha........[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Uyo Khalifa ni km conor na muosha sufiria tuKama unaitwa Khalifa Salmin ..alaf demu wako kakutumia msg kua yupo hospitals kalazwa so anadai umtumie hela...my friend khalifa huo ni uongo maana kuna dem nipo nae hapa kwenye daladala ndo ameandika iyo msg yan si mgonjwa. Ninakushtua tu mshikaj wangu maninja kusaidiana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]