Onyo kwa Conor na muosha rungu

Onyo kwa Conor na muosha rungu

Sasa nimeelewa kwann nlipigwa mkwara kwa ajili ya ile mama.....nmekaa mbali kbs
 
Kama unaitwa Khalifa Salmin ..alaf demu wako kakutumia msg kua yupo hospitals kalazwa so anadai umtumie hela...my friend khalifa huo ni uongo maana kuna dem nipo nae hapa kwenye daladala ndo ameandika iyo msg yan si mgonjwa. Ninakushtua tu mshikaj wangu maninja kusaidiana..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uyo Khalifa ni km conor na muosha sufiria tu

Wa kishua
 
Back
Top Bottom