Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Wee unayesikiliza story za huyo mke wa mtu tutasemaje sasa
Yaani katika story tu za kawaida mkiongea utashangaa kagusia hizo mambo,sasa huwa wanasema kilicho moyoni ndo mdomo unatoa
 
Yaani katika story tu za kawaida mkiongea utashangaa kagusia hizo mambo,sasa huwa wanasema kilicho moyoni ndo mdomo unatoa
Sasa kwani wee usiishie kwenye salam tuu kama umeshajua huyu maongezi yake lazima kuwe na mambo hayo
 
Wewe ni Mlaji wa hiyo kitu maana wanasemaga ndege wafananao huruka pamoja
 
Sasa kwani wee usiishie kwenye salam tuu kama umeshajua huyu maongezi yake lazima kuwe na mambo hayo
kwa waswahili utaonekana unaringa na sio vizur,siku unapata tatizo watasema ngoja akome huwa anaringa sana
 
Nawewe kwanini unamsikiza na maongezi hayo hayo kila muongeapo Kama si kutamani kumla huko nyumani
 
Mkuu ni pm namba yk
Tumpe ushauri zaidi

Ova
 
We nawe acha kupiga story na wake za watu au amekuona umekaa kindezi anakutafutia wa kukubinjua be careful.
 
We nawe acha kupiga story na wake za watu au amekuona umekaa kindezi anakutafutia wa kukubinjua be careful.
kwahiyo hata kama ni jirani yako umnunie kisa ni mke wa mtu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…