Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

acha uzinzi. usingekuwa mzinzi usingekutana na hili
 
Hapa ndiyo umati huu kidogo kidogo unageuka ule ulioangamizwa wa Nabii Lut.

Ewe Mwenyezi Mungu tupe nusra tuepukane na maangamizo.
 
Kwnn mnapenda kuandika habari za kipumbavu namna hii? Yani vijana kutwa kucha mmekazana na hayo mambo ya kinyume na maumbile hata kama story co ya kweli lkn utasema ni kweli ili kutafuta attention, kwnn haya mambo mnayapa nafasi namna hii? Kulikuwa na ulazima gn kutuletea hii story hapa, alafu kuonesha kwamba umetunga eti unatuomba ushauri, unataka ushauri gn wkt uliamua usifanye? Au unataka uambiwe ukafanye? Acheni hizi mambo vijana hazina maana yoyote kuzipa nafasi namna hii, ni ushenzi huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…