Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Kula samaki

Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Nimepata picha huyo samaki anavyoliwa...nahisi atabaki mifupq
Yeap wewe ndio huyo samaki sasa vuta picha vizuri jinsi utakavyoliwa taratiiiiibu upande mmoja baada ya mwingine, ukimaliza kuliwa juu unaliwa na chini
 
Unapata mwanamke wa kufafana nae mkuu. Wanawake tunao kuwa nao tupo nao katika tamaduni moja. Kama mie sio mfiraji na jamii yangu haina wafiraji na mke wangu sio mfirwaji. Na haitakaa akafirwa kama vile uaivyoweza kufanya mambo flani pia
Usijiaminishe sana, halafu bila aibu unasema jamii yako haina wafiraji,una uhakika gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…