Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

Subuhanallah kiukweli Allah atunusur na hichi kizazi cha sasa hiv maana nihatar sana nililetewa kesi ya mwanamke amekuja kumshitaki mume wake kuwa hamridhishi (hamkojozi) ikabidi niwaite wote wawili ili niwasikilize nilicho gundua mwanamke anataka aingiliwe kinyume na maumbile ila mwanaume hataki hapo ndipo shida ilipo anzia
 

Duhh hiyo kauli sana
 
Je na wale wanao fanya hayo mambo na wao hutegemea nini? Mbona wengine huwatumia hata wake zao?
 
Unampaje Onyo mtu mzima mwenye akili zake kwakitu ambacho hata akifanya au asipofanya hutajuwa?

Fanya mambo yako muda hautoshi kujadili vitu visivyo na faida na wewe.
 
Kama aliliwa jicho na namuelewa haina noma ndoa inasonga tu,, sidhani kama kuachana nae ndio itakuwa imekufariji..

Jicho kaliwa na ameshaacha michezo iyo mbona hakuna noma maisha yanaendelea

Ukishiba huwezi kua kama mwenye njaa!
 
Unampaje Onyo mtu mzima mwenye akili zake kwakitu ambacho hata akifanya au asipofanya hutajuwa?

Fanya mambo yako muda hautoshi kujadili vitu visivyo na faida na wewe.

Nikuulize kwan mchungaji au shekh anaposihi watu katika swala la uzinzi ww ukifanya au ukifanywa atajua vipi,acha kuongea km unakunya man kaa kwa kutulia hujalazimishwa kuchangia au unawashwa,siku nyingn usichangie mada km unakunya[emoji2959][emoji2959]
 
Kwahiyo wewe ni sheikh , mchungaji au motivational speaker?
 
Dah kwa hiyo mie tahira...aya bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…