Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

bamia kala sana lakini hamna kitu
Mwambie annual bamia
Achukue 5 akatekate awake kwenye maji masafi ya kunywa lita 1 ,azuache kuanzia 8 hrs
Au anaweza akaweka jioni halafu asubuhi akanywa kabla hajala kitu
Glass 1 tu ...
Nyingine mchana , anamalizia usiku kabla hajalala
Kwa anaeanza atumie siku 7 tu ....
Then anakuwa anakunywa mara 3 kwa wiki later...
Haiwezekani abaki kawaida
 
Shukrani sana ngoja niende mabibo sokoni kuchukua bamia ntaleta mrejesho hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…