Onyo kwa wanaotumia mafuta wakati wa kufanya mapenzi

Swadaktaaaa!!!
 
😂😂😂😂😂😂
 
Zipo brands nyingi tu,ukienda Pharmacy utazipata,ila sina uhakika kama huko utapata brand zote,

Hizi ni baadhi ya Brands,

Lube life,Astroglide,Sliquid,K-Y,Good Clean Love,Passion Lube,Swiss Navy,Aloe Cadabra,Turn On.
Nyingi ulizozitaja, pharmacy za Bongo hawauzi, na Wakiuza wanapiga bei juu, afu wanafanya km magendo.

Ila kuna sehemu 1 iko mikocheni ndo kuna kila aina ya based lubs, hadi oil fluids.
 
Naibu waziri wa mapenzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…