Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Kuna mtu job ananiambiaga ndoa tamu kijana oa sisi tulioona tunafaidi.Oa tu mkuu
Ila ukimuona, kavaa shati lina alama ya mstari nyuma mgongoni kuanikwa kwenye kamba, nywele rafu rafu, kazini anaondoka saa 12 jioni ata kama hana shughuli, yaani unajiuliza uyu anafaidi nn sasa.