Kuna mtu job ananiambiaga ndoa tamu kijana oa sisi tulioona tunafaidi.Oa tu mkuu
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Bhac wanaume tumekishwa adse .hawa viumbe hawafai tena kwa matumizi ya ndoaHiyo kutongozwa na diamond sidhani kama hata mama mchungaji wangu anaweza kataa[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Kuna wanaume pia waloshndwana na wanawake walozaa nao, yapaswa nao wafkiriwe maana pia n tabu tupu. Kuna mmoja namjua yy amezaa na wamama wawili tofauti kila moja wao kaishi nao kwa kipind fulani na wakabarkiwa kupata watoto. Na hakuna hata moja anayeish nae............na ukiuliza ati yy ndo katendwa na wanawake wote wawil alozaa nao๐คจHawa wa sasa ni kama bargaining tu, mbaya zaidi usiombe akawa ana mtoto au watoto wa kando, jiulize kwanini wameshindwa hao na wewe una nini cha kipekee cha kuwazidi waliokutangulia,
Sisemi wanawake wote bali wengi wao wa aina hiyo ni tabu tubu na ni wa ku-fake life eti wao tu ndio hutendwa na kuonewa.
Ni muunganyiko wa makubaliano baina ya mwanume na mwanamke kuishi pamoja hadi kifo kitakapowatenganishaNdoa ni nini !?
Tuache masihara we aje beyonce utakataa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji4][emoji4][emoji4][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Bhac wanaume tumekishwa adse .hawa viumbe hawafai tena kwa matumizi ya ndoa
๐๐๐๐Juzi nilihudhiria harusi ya jirani yangu wakati wanaapa pale mbele kuishi pamoja kwenye shida na raha.... kicheko kikaniponyoka
We mwenyewe ukija sikuachi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Tuache masihara we aje beyonce utakataa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji4][emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa kuna vingi nje ya muonekano anavyofaidi mkuu, we ingia tu.Kuna mtu job ananiambiaga ndoa tamu kijana oa sisi tulioona tunafaidi.
Ila ukimuona, kavaa shati lina alama ya mstari nyuma mgongoni kuanikwa kwenye kamba, nywele rafu rafu, kazini anaondoka saa 12 jioni ata kama hana shughuli, yaani unajiuliza uyu anafaidi nn sasa.
Naona naenda mbali bure[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We mwenyewe ukija sikuachi [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Usiogope mkuu ingia ata hivyo ushakula chumvi nyingi mno.Mnazifi kunikatisha tamaa kila nikifikiria kuingia huko majikuta nasema "acha nicikirie kwanza"nikiangalia kila kitu ninacho nyumba kazi (kasoro gari[emoji23][emoji23])ila suala la mke bhana naliwazia sana na umri unaniruhusu kabisa nina hofu sana
Mkuu asilimia za kuoa huongezeka nne kila mwaka, sasa 16% zilizobaki maana yake ni miaka miyine ijayo๐๐๐ kuwa mvumilivu tu. Ntakupa ata kitengo cha kupokea wageni๐๐Naomba mualiko mkuu, nisije nikakosa vyote asee nipate hata msosi tu nikukose wewe.
Nakubaliana nawe, lakini peleleza kutokana na mleta mada na mingi michango ya wadau hapa na nje ya JF utakuta uhalisia wa akina mama wa sasa jeuri, dharau, ujuaji mbaya zaidi kutokujali ninao wengi tu wa mfanoKuna wanaume pia waloshndwana na wanawake walozaa nao, yapaswa nao wafkiriwe maana pia n tabu tupu. Kuna mmoja namjua yy amezaa na wamama wawili tofauti kila moja wao kaishi nao kwa kipind fulani na wakabarkiwa kupata watoto. Na hakuna hata moja anayeish nae............na ukiuliza ati yy ndo katendwa na wanawake wote wawil alozaa nao[emoji2955]
Ipo waziHabari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF,
Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia;