Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
 
Kazi kwa bidii na juhudi ndizo zitakazompa mtu maendeleo. Sio kukaa kwenye vijiwe vya kwahawa kubwabwaja tangu asubuhi hadi jioni halafu anakuja mpuuzi mmoja anasimama jukwaani anadanganya eti mkinipeleka Ikulu mtaneemeka.

Bila kufanya kazi maisha hayatakaa yawe marahisi hata sekunde moja.

Siasa ni ajira kama zilivyo ajira nyinginezo ndio sababu wanasiasa wanalipwa tangu ngazi ya juu hadi ngazi za chini.

Ikiwa una kipaji cha kuongea, kupiga propaganda, kuhadaa, kulaghai, kuiba, kukwapua, kufisadi, kujilimbikizia Mali, kuroga, kuua na mengine yanayofanania hayo, ingia kwenye siasa utatoboa, vinginevyo utaishia kuumia tu
 
haki huambatana na wajibu gentleman,

usipowajibika inakua ni useless kuropokaji ati unadai haki 🐒
Hata mjipange vipi JF na nyuzi nyukuki tayari nia zenu ovu zipo wazi kwa watanzania.
 
Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
Waraka ni wa wakatoliki tuu, hizo nyingine ni porojo. Huyo Mungu mbona hakukwambia utoe onyo kwa kutochukuliwa hatua yoyote wale makada wa CCM walio kiri hadharan kuhusika kuharibu uchaguzi tena kupeleka watu maporini?
Hukutoa onyo kwa kuachwa yule jamaa aliye sema chadm wananunua Ebola na mpox?
Huo sio unabii ni uchawa.
 
Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
Nachukua nafasi hii kuwapongeza mno viongozi wa Dini hasa Kanisa Katoliki, sasa naona wameanza kushika nafasi zao kisawasawa. Hongereni!
 
Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
Waonye Bakwataccm kwa kukumbatia unafiki pasipo kukemea Polisiccm Tumeccm kwa matendo haramu ya kuwabambikia kesi za uhaini chadema,kwa njia za kishetani
 
Bakwata ni Tawi la CCM ndiyo maana tunawaita Bakwataccm kwani wao wamekumbatia vitendo haramu vya Polisiccm kuwabambikia kesi za uhaini chadema pasipo kuvikemea popote
 
Back
Top Bottom