baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Kuna mtu nilimwambia apush hii kitu akaogopa kutokana na changamoto za kiafya sasa nimeamua kuileta mwenyewe.
Kumekua na tabia mmoja mbaya sina uhakika kama Victor Seffu Mkurungenzi wa Tarura kama anaijua. Hii tabia imekua inaumiza Wakandarasi wengi sana unaomba tender una vigezo vyote vya kupewa lakini huwezi kupewa maana hujawpa ruswa kiufupi lazima tenda uinunue utatoa milioni tatu au mpaka nne ndo utaweza kupewa kazi sasa swali lakujiuliza kama serikali ilitoa zoezi la kununua vitabu kutoa urasimu lakini kuna wahuni wanauza hizi kazi au tenda kwa gharama kubwa sana sasa si bora serikali iweke wazi kwamba tenda zitauzwa kwa gharama flani kuliko hii pesa inayoishia mikononi mwa wahuni wachache. Manyara pale kuna mtu bingwa wa kununua tenda TARURA hapo Manyara anaitwa Paulo na wanaohusika na uhuni huu wananijua tunajua na ushaidi wa kutosha lakini siwezi kuwapa TAKUKURU maana hawana meno wao wamezoea kukamata rushwa kwa walimu wa msingi na afisa elimu kata.
Watasema kuna PPAA hii taasisi huwezi kushinda kesi hata ukiomba wachunguze utoaji wa tenda hawa nao hawana jipya nimeileta JF maana kuna watu wengi wanaopita hapa binafsi najua Victor sefu atapita hapa pale Manyara pameoza pamoja nakuamisha RM bado kuna wahuni wanauza kazi pale kama huna pesa hata kampuni yako ikishinda tenda huwezi kupewa kama hujatoa milioni tatu mpaka nne watu wa evaluation naweza kuwataja hapa wanaofanya hiyo michezo pesa ikikusanywa wanaenda kugawana na PMU kuna siku nitakuja kuwataja hapa kama hatua zipochukuliwa.