Acha stori za vijiweni mtumishi wa umma afukuzwi kama kukuKinachofanyika ndio hicho. Kumwambia mtu apush, maana yake nin? Wao pia wanawakaguzi. Wakikaguliwa na kukuta wamempa mtu wa bei juu, mfano mtu wa 10 kwenye rank kwa bei, watahojiwa na wanawezapoteza kazi.
Bei unajaza wewe unayoona unaweza kufanya kazi. Hujazi bei ili kuwaridhisha au kuwafurahisha wao. Mfano, umeambiwa bajeti yetu ni milion 50, wewe umejaza vizuri kwa kijibana ukapata milion 120, je utashusha hadi ifikie hiyo yao?
Au umeambiwa bajeti yetu ni milion 60, wewe umejaza imefika milion 35, utaipandisha ifike huko kwenye milion 60?
Jawabu linabaki ninpale pale. Bei ya tenda hupangiwi na wao maana wao sio wafanyajinkazi, wao ni wasimamizi.
Acha utoto huwezi kupewa kazi bila kutoa rushwa au kuuziwa tendaIt is simple,
Jazatenda yako vizuri na usikosee sehemu, uwe na bei shindani au uwe na bei ndogo kuliko wengine na umejaza vizuri hujakosea hata nukta. Watakupa wala hawatakinyima. Shida inaijia pale unapotaka ubebwe. Wakube kwa kukuogopa? Yule atakaekubali kubebwa kwa masharti yao, abebeke. Pambana dogo.
mpumbavu achana nae ni kwamba huwezi kupata tenda bila kuuziwa na Wakandarasi wengi wanajua hii kitu ni vile tu wemeamua kushiriki upumbavuUmeandika kinachotakiwa kufanyika, mleta mada anazungumzia kinachofanyika, kwa hiyo mkuu acha kuleta mambo ya kufikirika
Wakati wewe umejaza kila kitu fresh, mwenzio kajaziwa kila kitu na kapewa tip ya bei ya chini kidogo inayokaribia bajeti. Akishinda wanafanya amendment kuongoze gharama.
Ikitokea umempiga kwenye bei unatafutiwa kosa hata kama ni minor deviation. Utaenda kulalamika wapi?
Sema utatokea wapi?
Kwishaaaaaa
Bila kuwataja hapa...huu nao ni umbea kama umbea mwingine!Mkuu sifanyagi vitu ambavyo sina uhakika navyo suala la time
Mwaga hapa hadharani ndugu baz kaiza , utakuwa umetimiza jukumu lako kama mzalendo,ila ukienda PPAA au PCCB, maisha yako yatakuwa hatarini maana wala rushwa wanakula hao jamaa.Mimi nina ushahidi siwezi kuleta tuuma
Haya, kapambaneni na bei zenu za juu na mjaze vibaya tenda muone kama mtapataAcha stori za vijiweni mtumishi wa umma afukuzwi kama kuku
Na huwezi kuuziwa hiyo tenda bila kujaza vizuriAcha utoto huwezi kupewa kazi bila kutoa rushwa au kuuziwa tenda
Mi mdogo kwako au kwa mleta mada? Ninyi ndio watoto mnaopiga kele humu. Mnataka mpewe tu vya bure na tenda mnajaza vibaya mkitolewa et mnaonewa. Acheni kutia tia huruma. Jaza vizuri na bei yako iwe nzuri.Tulia kijana mdogo
Sure kabisaHakuna sehemu ambazo unapata kitu cha bure siku hizi. Hao lazima waokote kwenu, ila wapeleke mrejesho huko juu. Na huyu unayemtaka achukue hatua, anajua vzr. Chain ya kuokota huwa inaanzia chini kwenda juu, wasipookota wataomdolewa .
Ukiiona mtu kahamishwa, sio kosa kuokota, kosa ameokota sana mpaka imekuwa kero na kelele zimezidi au kawapiga wenzake (mchoyo) au anaharibu, kutibua chain ya uokotaji (kidomodomo/mnoko).
Kote kwenye miradi na maokoto ipo hivyo. Wanaoweza kushughulikia hayo ni wale wa nje ya Taasisi, rejea scandali ya TEMESA, MSD au kwenye ule mradi wa TARURA Dar, halmashauri Singida na Katavi. Mamlaka zingine nje ya Taasisi hizo ndio zilifanya maamuzi
Wewe mtoto mdogo kimaisha na kifikraMi mdogo kwako au kwa mleta mada? Ninyi ndio watoto mnaopiga kele humu. Mnataka mpewe tu vya bure na tenda mnajaza vibaya mkitolewa et mnaonewa. Acheni kutia tia huruma. Jaza vizuri na bei yako iwe nzuri.
Unajigamba mwenyewe, ninyi watoto mnakasheshe sana. Acheni ujuha. Chagua viwili tu.Wewe mtoto mdogo kimaisha na kifikra
Sina cha kubishana na w
Upo sawa boss. Kaka mkuu.Sina cha kubishana na wewe
Upo Idara gani hapo Tarura Manyara?Unajigamba mwenyewe, ninyi watoto mnakasheshe sana. Acheni ujuha. Chagua viwili tu.
1. Toa pesa upate pesa,
Hapa namaanisha kama hujajaza vizuri tii matakwa yao.
2. Kua mtu smart sana upate pesa.
Hapa namaanisha kua jaza tenda vizuri na kila kitu kiwe halisia/asilia
KachurumbiwaUpo Idara gani hapo Tarura Manyar