DOKEZO Onyo kwa watumishi wa umma TARURA Manyara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu hii sio TARURA ni kila taasisi inayotoa tenda. Kiufupi tenda zinauzwa. Kipindi cha Magufuli kulikuwa na nafuu kubwa na kuogopa kuchomwa. Kwa sasa ni kama fungulia mbwa.
Inasikitisha sana
Nimeogopa sana
 
Kuna mtu nilimwambia apush hii kitu akaogopa kutokana na changamoto za kiafya sasa nimeamua kuileta mwenyewe.

Kumekua na tabia mmoja mbaya sina uhakika kama Victor Seffu Mkurungenzi wa Tarura kama anaijua. Hii tabia imekua inaumiza Wakandarasi wengi sana unaomba tender una vigezo vyote vya kupewa lakini huwezi kupewa maana hujawpa ruswa kiufupi lazima tenda uinunue utatoa milioni tatu au mpaka nne ndo utaweza kupewa kazi sasa swali lakujiuliza kama serikali ilitoa zoezi la kununua vitabu kutoa urasimu lakini kuna wahuni wanauza hizi kazi au tenda kwa gharama kubwa sana sasa si bora serikali iweke wazi kwamba tenda zitauzwa kwa gharama flani kuliko hii pesa inayoishia mikononi mwa wahuni wachache. Manyara pale kuna mtu bingwa wa kununua tenda TARURA hapo Manyara na wanaohusika na uhuni huu wananijua tunajua na ushaidi wa kutosha lakini siwezi kuwapa TAKUKURU maana hawana meno wao wamezoea kukamata rushwa kwa walimu wa msingi na afisa elimu kata.

Watasema kuna PPAA hii taasisi huwezi kushinda kesi hata ukiomba wachunguze utoaji wa tenda hawa nao hawana jipya nimeileta JF maana kuna watu wengi wanaopita hapa binafsi najua Victor sefu atapita hapa pale Manyara pameoza pamoja nakuamisha RM bado kuna wahuni wanauza kazi pale kama huna pesa hata kampuni yako ikishinda tenda huwezi kupewa kama hujatoa milioni tatu mpaka nne watu wa evaluation naweza kuwataja hapa wanaofanya hiyo michezo pesa ikikusanywa wanaenda kugawana na PMU kuna siku nitakuja kuwataja hapa kama hatua zipochukuliwa.
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yoke ,sijui nani alihalalisha?
 
It is simple,

Jazatenda yako vizuri na usikosee sehemu, uwe na bei shindani au uwe na bei ndogo kuliko wengine na umejaza vizuri hujakosea hata nukta. Watakupa wala hawatakinyima. Shida inaijia pale unapotaka ubebwe. Wakube kwa kukuogopa? Yule atakaekubali kubebwa kwa masharti yao, abebeke. Pambana dogo.
 
Umeandika kinachotakiwa kufanyika, mleta mada anazungumzia kinachofanyika, kwa hiyo mkuu acha kuleta mambo ya kufikirika

Wakati wewe umejaza kila kitu fresh, mwenzio kajaziwa kila kitu na kapewa tip ya bei ya chini kidogo inayokaribia bajeti. Akishinda wanafanya amendment kuongoze gharama.
Ikitokea umempiga kwenye bei unatafutiwa kosa hata kama ni minor deviation. Utaenda kulalamika wapi?

Sema utatokea wapi?

Kwishaaaaaa
 
Noted.

Everyone should bring their complaints forward so that we have a list of the names of individuals and institutions that defraud and steal from citizens — rank does not matter — if they can engage in corruption while occupying public office — they shouldn’t be shocked if their crimes are made public.

Hamna kuonewa na kusononeka mwenyewe. Kama umeibiwa kiwanja — umenyanganywa tenda — umeombwa rushwa — raise the alarm !!!
 
Hii term ndio wamezidi mpk awaogopi hata kidogo. Ni mwendo w rushwa tu.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Umeandika kinachotakiwa kufanyika, mleta mada anazungumzia kinachofanyika, kwa hiyo mkuu acha kuleta mambo ya kufikirika

Wakati wewe umejaza kila kitu fresh, mwenzio kajaziwa kila kitu na kapewa tip ya bei ya chini kidogo inayokaribia bajeti. Akishinda wanafanya amendment kuongoze gharama.
Ikitokea umempiga kwenye bei unatafutiwa kosa hata kama ni minor deviation. Utaenda kulalamika wapi?

Sema utatokea wapi?

Kwishaaaaaa
Kinachofanyika ndio hicho. Kumwambia mtu apush, maana yake nin? Wao pia wanawakaguzi. Wakikaguliwa na kukuta wamempa mtu wa bei juu, mfano mtu wa 10 kwenye rank kwa bei, watahojiwa na wanawezapoteza kazi.

Bei unajaza wewe unayoona unaweza kufanya kazi. Hujazi bei ili kuwaridhisha au kuwafurahisha wao. Mfano, umeambiwa bajeti yetu ni milion 50, wewe umejaza vizuri kwa kijibana ukapata milion 120, je utashusha hadi ifikie hiyo yao?

Au umeambiwa bajeti yetu ni milion 60, wewe umejaza imefika milion 35, utaipandisha ifike huko kwenye milion 60?

Jawabu linabaki ninpale pale. Bei ya tenda hupangiwi na wao maana wao sio wafanyajinkazi, wao ni wasimamizi.
 
Wao pia wanawakaguzi. Wakikaguliwa na kukuta wamempa mtu wa bei juu, mfano mtu wa 10 kwenye rank kwa bei, watahojiwa na wanawezapoteza kazi.
Ndio maana nakuambia unaandika mambo ya kufikirika, unafikiria wangekuwa wanapoteza kazi au kuchukuliwa hatua tu, kungekuwa na malalamiko? Wasingefanya hizo fraud anazosema mleta mada.
Kwani wewe husikii sauti za kwamba CAG/PPRA wanaripoti wizi na hakuna kinachofanyika?
 
Mimi na shauri, TU 😂 kiubinadamu hawa watumishi wanao sahinisha , serikali iwape pesa kidogo kwenye kila tender ili waacha kijicho
 
Kuna mtu nilimwambia apush hii kitu akaogopa kutokana na changamoto za kiafya sasa nimeamua kuileta mwenyewe.

Kumekua na tabia mmoja mbaya sina uhakika kama Victor Seffu Mkurungenzi wa Tarura kama anaijua. Hii tabia imekua inaumiza Wakandarasi wengi sana unaomba tender una vigezo vyote vya kupewa lakini huwezi kupewa maana hujawpa ruswa kiufupi lazima tenda uinunue utatoa milioni tatu au mpaka nne ndo utaweza kupewa kazi sasa swali lakujiuliza kama serikali ilitoa zoezi la kununua vitabu kutoa urasimu lakini kuna wahuni wanauza hizi kazi au tenda kwa gharama kubwa sana sasa si bora serikali iweke wazi kwamba tenda zitauzwa kwa gharama flani kuliko hii pesa inayoishia mikononi mwa wahuni wachache. Manyara pale kuna mtu bingwa wa kununua tenda TARURA hapo Manyara na wanaohusika na uhuni huu wananijua tunajua na ushaidi wa kutosha lakini siwezi kuwapa TAKUKURU maana hawana meno wao wamezoea kukamata rushwa kwa walimu wa msingi na afisa elimu kata.

Watasema kuna PPAA hii taasisi huwezi kushinda kesi hata ukiomba wachunguze utoaji wa tenda hawa nao hawana jipya nimeileta JF maana kuna watu wengi wanaopita hapa binafsi najua Victor sefu atapita hapa pale Manyara pameoza pamoja nakuamisha RM bado kuna wahuni wanauza kazi pale kama huna pesa hata kampuni yako ikishinda tenda huwezi kupewa kama hujatoa milioni tatu mpaka nne watu wa evaluation naweza kuwataja hapa wanaofanya hiyo michezo pesa ikikusanywa wanaenda kugawana na PMU kuna siku nitakuja kuwataja hapa kama hatua zipochukuliwa.
Huku kwenye tenda za RARURA mbona tumeshazoea kutoa rushwa ndugu!!??

Tanzania hii TAKUKURU, TanPol,Mamlaka ya Rufaa za Zabuni (PPAA) wote hamna kitu wanafanya kuhusu rushwa.

Wewe weka majina hadharani (na kama unaweza kupata ushahidi ni vyema zaidi) ili "tuwazomee" kwa mujibu wa aliyejipa uraia namba moja.
 
Mimi nina ushahidi siwezi kuleta tuuma
 
Back
Top Bottom