DOKEZO Onyo kwa watumishi wa umma TARURA Manyara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mi

Kachurumbiwa
Muende polepole Ndugu, tumieni akili na sio ujuaji. Siku hizi watumishi wa Umma mnafungwa, mtakula miaka kadhaa kwa pesa ndogo ndogo tu, mifano ipo ishaanza kuonekanana kwa wenzenu waliokula miaka, na wengine kesi zao zilizopo kwa Pilato.

Hayo mambo ya mfumo yanaacha alama, hufuti kitu. Unadakwa kama kuku wa mdondo.
 
Suala la Mda tu
 
Poleni sana, hiyo michezo ni ya muda mrefu sana, hata Late Magufuli alishawahi kulizungumzia hili...

Cc: Mahondaw
 
Back
Top Bottom