Pole sana ndugu yangu kama hilo suala umeiona sasa.Kuna mtu nilimwambia apush hii kitu akaogopa kutokana na changamoto za kiafya sasa nimeamua kuileta mwenyewe. Kumekua na tabia mmoja mbaya sina uhakika kama Victor Seffu Mkurungenzi wa Tarura kama anaijua. Hii tabia imekua inaumiza Wakandarasi wengi sana unaomba tender una vigezo vyote vya kupewa lakini huwezi kupewa maana hujawpa ruswa kiufupi lazima tenda uinunue utatoa milioni tatu au mpaka nne ndo utaweza kupewa kazi sasa swali lakujiuliza kama serikali ilitoa zoezi la kununua vitabu kutoa urasimu lakini kuna wahuni wanauza hizi kazi au tenda kwa gharama kubwa sana sasa si bora serikali iweke wazi kwamba tenda zitauzwa kwa gharama flani kuliko hii pesa inayoishia mikononi mwa wahuni wachache. Manyara pale kuna mtu anaitwa Paul huyu ni bingwa wa kununua tenda Tarura hapo Manyara na wanaohusika na uhuni huu wananijua tunajua na ushaidi wa kutosha lakini siwezi kuwapa Takukuru maana hawana meno wao wamezoea kukamata rushwa kwa walimu wa msingi na afisa elimu kata. Watasema kuna PPAA hii taasisi huwezi kushinda kesi hata ukiomba wachunguze utoaji wa tenda hawa nao hawana jipyan nimeileta jamii foramu maana kuna watu wengi wanaopita hapa binafsi najua Victor sefu atapita hapa pale Manyara pameoza pamoja nakuamisha RM bado kuna wahuni wanauza kazi pale kama huna pesa hata kampuni yako ikishinda tenda huwezi kupewa kama hujatoa milioni tatu mpaka nne watu wa evaluation naweza kuwataja hapa wanaofanya hiyo michezo pesa ikikusanywa wanaenda kugawana na PMU kuna siku nitakuja kuwataja hapa kama hatua zipochukuliwa.
Yaani upewe mchongo bure bure tuuh!?Kwanza haijawahi kutokea mkandarasi ukapata kazi bila y akutoa rushwa.
kabisa kabisa haijawahi kutokeaYaani upewe mchongo bure bure tuuh!?
Toa kitu pata kitu
Wahusika wanakuja lakini!?
Tena kwa Tanganyika yetu hii ,mtaani tuuh chumba chakupanga unahitajika uunganishwe !?kabisa kabisa haijawahi kutokea
Wakandarasi ndo wamebaki kua wakiwaPole sana ndugu yangu kama hilo suala umeiona sasa.
ishakuwa kawaida sana na siyo jambo la kustua kwa wakandarasi na hizo taasisi.
Kwanza haijawahi kutokea mkandarasi ukapata kazi bila y akutoa rushwa.
Hilo ni Jambo la kawaida sana.
Hata wakandarasi wenyewe wameshaizoea hiyo hali na siyo tatizo kwaoWakandarasi ndo wamebaki kua wakiwa
Jaribu Mkuu, nina uhakika watakusaidiaUko hamna kitu cha maana
Daah ..umenikumbusha mbali sana machozi yananitoka..nilishinda tenda Moja kubwa tu..mwisho kabisa jamaa ananiambia eti wamekosea kuweka idadi ya items hivyo wameitangaza upya...nilikasirika sanaKuna mtu nilimwambia apush hii kitu akaogopa kutokana na changamoto za kiafya sasa nimeamua kuileta mwenyewe. Kumekua na tabia mmoja mbaya sina uhakika kama Victor Seffu Mkurungenzi wa Tarura kama anaijua. Hii tabia imekua inaumiza Wakandarasi wengi sana unaomba tender una vigezo vyote vya kupewa lakini huwezi kupewa maana hujawpa ruswa kiufupi lazima tenda uinunue utatoa milioni tatu au mpaka nne ndo utaweza kupewa kazi sasa swali lakujiuliza kama serikali ilitoa zoezi la kununua vitabu kutoa urasimu lakini kuna wahuni wanauza hizi kazi au tenda kwa gharama kubwa sana sasa si bora serikali iweke wazi kwamba tenda zitauzwa kwa gharama flani kuliko hii pesa inayoishia mikononi mwa wahuni wachache. Manyara pale kuna mtu anaitwa Paul huyu ni bingwa wa kununua tenda Tarura hapo Manyara na wanaohusika na uhuni huu wananijua tunajua na ushaidi wa kutosha lakini siwezi kuwapa Takukuru maana hawana meno wao wamezoea kukamata rushwa kwa walimu wa msingi na afisa elimu kata. Watasema kuna PPAA hii taasisi huwezi kushinda kesi hata ukiomba wachunguze utoaji wa tenda hawa nao hawana jipyan nimeileta jamii foramu maana kuna watu wengi wanaopita hapa binafsi najua Victor sefu atapita hapa pale Manyara pameoza pamoja nakuamisha RM bado kuna wahuni wanauza kazi pale kama huna pesa hata kampuni yako ikishinda tenda huwezi kupewa kama hujatoa milioni tatu mpaka nne watu wa evaluation naweza kuwataja hapa wanaofanya hiyo michezo pesa ikikusanywa wanaenda kugawana na PMU kuna siku nitakuja kuwataja hapa kama hatua zipochukuliwa.
Wanakutafutia sababu ya kipumbavu kusudi wakuondoe wawape waliowapa rushwaDaah ..umenikumbusha mbali sana machozi yananitoka..nilishinda tenda Moja kubwa tu..mwisho kabisa jamaa ananiambia eti wamekosea kuweka idadi ya items hivyo wameitangaza upya...nilikasirika sana
N.B
Kwenye tenda niliacha napambana na mambo yangu full stop
Hapana kwakweli ..halafu hawajui kuomba tenda ni pesa..yaani very simple eti omba tena..Mimi nimewaachia waendelee waoWanakutafutia sababu ya kipumbavu kusudi wakuondoe wawape waliowapa rushwa
Yanamwisho.Wanakutafutia sababu ya kipumbavu kusudi wakuondoe wawape waliowapa rushwa