DOKEZO Onyo kwa watumishi wa umma TARURA Manyara

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mimi na shauri, TU πŸ˜‚ kiubinadamu hawa watumishi wanao sahinisha , serikali iwape pesa kidogo kwenye kila tender ili waacha kijicho
Ni wapumbavu sana
 
Acha stori za vijiweni mtumishi wa umma afukuzwi kama kuku
 
Hii term ndio wamezidi mpk awaogopi hata kidogo. Ni mwendo w rushwa tu.
Kazi ni kipimo cha utu
Mkuu ni hatari alafu wanakwambia kabisa basi kama hujawapa pesa watatafuta sababu yoyote wakumwage
 
Acha utoto huwezi kupewa kazi bila kutoa rushwa au kuuziwa tenda
 
mpumbavu achana nae ni kwamba huwezi kupata tenda bila kuuziwa na Wakandarasi wengi wanajua hii kitu ni vile tu wemeamua kushiriki upumbavu
 
Tulia kijana mdogo
Mi mdogo kwako au kwa mleta mada? Ninyi ndio watoto mnaopiga kele humu. Mnataka mpewe tu vya bure na tenda mnajaza vibaya mkitolewa et mnaonewa. Acheni kutia tia huruma. Jaza vizuri na bei yako iwe nzuri.
 
Hakuna sehemu ambazo unapata kitu cha bure siku hizi. Hao lazima waokote kwenu, ila wapeleke mrejesho huko juu. Na huyu unayemtaka achukue hatua, anajua vzr. Chain ya kuokota huwa inaanzia chini kwenda juu, wasipookota wataondolewa .

Ukiiona mtu kahamishwa, sio kosa kuokota, kosa ameokota sana mpaka imekuwa kero na kelele zimezidi au kawapiga wenzake (mchoyo) au anaharibu, kutibua chain ya uokotaji (kidomodomo/mnoko).

Kote kwenye miradi na maokoto ipo hivyo. Wanaoweza kushughulikia hayo ni wale wa nje ya Taasisi, rejea scandali ya TEMESA, MSD au kwenye ule mradi wa TARURA Dar, halmashauri Singida na Katavi. Mamlaka zingine nje ya Taasisi hizo ndio zilifanya maamuzi
 
Sure kabisa
 
Mi mdogo kwako au kwa mleta mada? Ninyi ndio watoto mnaopiga kele humu. Mnataka mpewe tu vya bure na tenda mnajaza vibaya mkitolewa et mnaonewa. Acheni kutia tia huruma. Jaza vizuri na bei yako iwe nzuri.
Wewe mtoto mdogo kimaisha na kifikra
 
Wewe mtoto mdogo kimaisha na kifikra
Unajigamba mwenyewe, ninyi watoto mnakasheshe sana. Acheni ujuha. Chagua viwili tu.
1. Toa pesa upate pesa,
Hapa namaanisha kama hujajaza vizuri tii matakwa yao.

2. Kua mtu smart sana upate pesa.
Hapa namaanisha kua jaza tenda vizuri na kila kitu kiwe halisia/asilia
 
Unajigamba mwenyewe, ninyi watoto mnakasheshe sana. Acheni ujuha. Chagua viwili tu.
1. Toa pesa upate pesa,
2. Kua mtu smart sana
Sina cha kubishana na wewe
 
Upo Idara gani hapo Tarura Manyara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…