Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

Hawa panya road wanaleta fedheha kwa serikali, na hii kujinganya kuua hadi wanawake itawagharimu pakubwa, kisasi cha kuuawa mwanamke hakiwezi kuwa kidogo.
Yah dawa ya muuaji na yeye kuuwawa.
 
Kuliko kuuwawa Sauzi, 🦡 wachague kuuwawa hapahapa!
 
Mzazi anayeuza kiwanja amtoroshe mtoto mhalifu toka kwenye mkono wa sheria anamuangamiza mwanae kwa mikono yake mwenyewe
Na kama ndivyo Huyu mzazi ni panya zaidi ya mwanae
Kwanini mzazi hakuuza kiwanja ili amsomeshe mtoto au kumfungulia biashara. Inafikirisha!
 
Sio kukwepa mkono wa Sheria ila wanauliwa, na ni kweli wanakimbia now ata mi nimepata taarifa jana kwa kuna majamaa wamekimbia na sio panya road wenyewe tu ila ata wanunuz nao wana hali mbaya wamekimbia! Kwasasa kuchezea shaba kwenye issue ya panya road ni kawaida wanauliwa
 
Safi sana kama wanapukutishwa.
 
Hao panya road wapelekwe kwa mwamba Putin, maana ametangaza kutafuta vijana waende vitani na watapewa Usd $2000 kwa mwezi [emoji3526]
Na watawekwa frontline!
Na huko ndiko size yao walahi!
 
Wazazi wa Kiswahili bwanaa,sijui wakoje wanashindwa malezi afu wanasafa kwensekwensii daah
Ndio maana napinga kuzaana ovyo.
Li mtul yanaona fahari kuzaana ovyo kisha wanashindwa kuwahudumia watoto wao vema. Na hasa hawa vijana wengi ni watoto wa ukanda wa Pwani. Mzazi anauza eneo anapata milioni 100 lakini hana hata mtoto mmoja amesoma hata kidato cha 6. Elimu kwao haina umuhimu kabisa. Mtoto anakua tu mradi liende. Wanaongeza mzigo wa watu wasio na faida kwa taifa.
 
Kwanini mzazi hakuuza kiwanja ili amsomeshe mtoto au kumfungulia biashara. Inafikirisha!
Tatizo hao wazazi wengi wao hawakusoma. Kwahiyo hawawezi kujua umuhimu wa elimu.
 
Kama kweli panya road wanauwawa basi binafsi silaumu kwa mauaji hayo maana vijana wamekuwa na mioyo ya kinyama sana. Fikiria wakivamia sehem wanaiba, wanajeruhi na wanauwa bila sababu.
 
Kweli kabisa, utakuta mtu anazaa watoto zaidi ya 10 ukimwambia kwann azae watoto wote hao katika hali hii mgumu ya maisha. Anakujibu eti kila mtoto anazaliwa na riziki yake.

Sasa nafikiri riziki wanayozungumzia wao ni hii ya kuibia watu, kujeruhi na sometimes kuuwa kabisa watu wasiokuwa na hatia yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…