Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #61
Mburahati ndiko kulikozaliwa makundi yote hatari na hatarishi afu baadae kusambaa maeneo mengine kama vile mbagala, vingunguti nk. Mburahati ilianza kuishi wahuni kabla maeneo hayo niliyotaja hapo juu yakiwa mapori hakuna nyumba hata moja.Mburahati Tena,manzese sisi kwa sisi,kwa mfunga mbwa na kigogo huku kwa biti kahenga nuksii bin balaa huko ndo kwa waswahili haswaaa,yaani wazazi na kulea na malezi ni vitu viwli tofauti ,yaaani malezi mabovu mno!!!wanaiba mchana kweupee