Onyo na ushauri wa bure kwa Panya Road, ndugu na wazazi wao

Ndio maneno yao hayo ya kipumbavu.
Ujamaa na ujio wa waarabu kwetu vilileta athari kubwa sana kwa watu wetu.
 
Hao panya road wapelekwe kwa mwamba Putin, maana ametangaza kutafuta vijana waende vitani na watapewa Usd $2000 kwa mwezi [emoji3526]
Na watawekwa frontline!
Na huko ndiko size yao walahi!
Ahaa ahaa frontline unafika tu mara paaaa kimyaa ushaoendda jongomero
 
Ndio maneno yao hayo ya kipumbavu.
Ujamaa na ujio wa waarabu kwetu vilileta athari kubwa sana kwa watu wetu.
Hakika mkuu.. Na matokeo yake leo wazazi wengi waliofata muongozo huo wameziacha familia zao katika matatizo makubwa, mpaka ya ndani ya kifamilia.
 
Tatizo wazazi wa mitaa ya uswahilini Dar wana upumbavu mwingi mno. Mitaa ya Buguruni, Ilala mchikichini, Kigogo hadi Mburahati kuna mambo ya kishenzi sana. Hao Panya road kibao na wazazi ndo wanafanya kuwatetea. Polisi ingesomba na baadhi ya wazazi.
 
Tatizo wazazi wa mitaa ya uswahilini Dar wana upumbavu mwingi mno. Mitaa ya Buguruni, Ilala mchikichini, Kigogo hadi Mburahati kuna mambo ya kishenzi sana. Hao Panya road kibao na wazazi ndo wanafanya kuwatetea. Polisi ingesomba na baadhi ya wazazi.
Ndio maana imeshaelezwa na Makala kuwa mtu yeyote iwe mzazi, mlezi au rafiki akijifanya kwenda kumuwekea dhamana mtoto wake au kutengeneza mazingira yatakayosababisha mtoto wake kuachiwa basi wata deal nae haraka iwezekanavyo.

Inaonekana kuna baadhi ya wazazi akiona mwanae anarudi nyumban asubuhi na kilo ya unga yeye anafurahi bila kujua kwamb hiyo kilo ya unga inatokana na mwanae kujeruhi, kuiba au kuuwa mtu asiekuwa na hatia, kisha kwenda kutumia fedha hizo alizoiba na nduguze, rafiki au wazazi wake.
 
Kwa mtu aliyeishi uswazi Dar atakuwa na mengi ya kusimulia. Wazazi ni washenzi mno. Kuna dogo mmoja alikuwa msumbufu mno mitaa ya Kigogo nae alitumia hii mbinu ya kukimbilia SA. Bahati nzuri hadi leo yupo huko hajauwawa. Alipokuwa Dar ilikuwa ni kukaba tu. Kila akikamatwa anatoka.
 
Ni malezi mabovu tu na siku hizi dini watu wanaona fahari kuitupilia mbali.

Wazee wetu hawajaanza kuzaa sana leo wala jana. Na hiyo elimu ya sekula hivi sasa hao waswahili wanaoisoma wanaongezeka kwa wingi kuliko hiyo zamani ambayo haya mambo hayakuwepo. Haya mambo kwanini yawe miaka hii kwa wingi? Na kadri muda unavyokwenda yanazidi.

Watu wanaacha Dini na Maadili mema. Tunaona fahari kuzaa watoto nje ya ndoa. Watoto hawajui Baba zao, tunaona fahari kuishi tunavyotaka sisi, familia zinavurugika na kuna watu wanachochea zaidi kuvunja taasisi ya familia kwa kushawishi agenda za kishenzi. Mwisho wa siku ndio haya yanatutokea.

Mimi Mswahili, naona baadhi ya matatizo ya kimaadili katika familia zetu na kwa kiasi kikubwa mno yanasababishwa na watu kuacha dini na kuishi wanavyotaka. Na nimegundua tatizo wala sio kukosa elimu ya Sekula, maana kwetu watu wamesoma na wale ambao hawajasoma watoto wao wanasoma, tatizo ni maadili na kupuuza dini. Huwa nashangaa sana baadhi ya "wasomi" humu wanavyopinga dini na maadili mema kwa kisingizio cha fikra huru. Sawa ngoja tuone.

Allah atunusuru sisi na vizazi vyetu.
 
Wazee wetu walizaa watoto wengi zaidi ya hao na hakukuwa na mambo hayo zamani. Kubalini tu kuwa ukosefu wa maadili na watu kuacha dini ndio maana bakora zinatushukia.
 
Ndio maneno yao hayo ya kipumbavu.
Ujamaa na ujio wa waarabu kwetu vilileta athari kubwa sana kwa watu wetu.
Acheni zenu nyinyi. Kwahiyo waarabu ndio wamekuleteeni lifestyle inayozalisha panya road? Acheni hizo bhana. Sioni connection ya waarabu na haya madudu.
 
Ya ni kweli, kuna dogo mungine alikuwa wa mburahati, dogo nasikia ilikuwa ukibishana nae kidogo tu kakuchana na kisu. Wakienda kukaba au kuiba yeye ndo mwenye maamuzi wa kumjeruhi wanaemuibia, dogo alikuwa hana huruma wala aibu kwa mtu yeyote, na kweli akikamatwa siku 2 anaonekana mtaani.

Raia wakamchoka wakapanga kumuangamiza, wazazi wake wakamleta Kaburu. Dogo kufika hapa watu wazima tukamuasa, akajifanya kutusikia baada ya muda akaanza tabia ya bongo kukaba kaba na kujeruhi. Leo hii ninavyokwamba hata kaburi lake huko kwao lishasahaulika. Walimkaba mtu ambae alikuwa na bomba ile kukimbia yey akapiga 1 ya mguu alipoanguka jamaa akamfata na kumpa nyingi nyingi za kichwa.

Watu tukarudisha mzoga kwao, wazazi wakalia, wakazika na sasa wameshasahau maisha yanaendelea.
 
Mburahati ni balaa.... hapafai. Wazazi wa hiyo mitaa ni washenzi kupitiliza. Kuna wakati nilishuhudia wazazi flani wakipokea mahari ya binti yao ambaye alikuwa kidato cha nne. Imagine wazazi wenye akili hizo!!!!.... hiyo mitaa ina watu wajinga na maskini mno.
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]umeongea Kwa hasira jamani
 
Mburahati Tena,manzese sisi kwa sisi,kwa mfunga mbwa na kigogo huku kwa biti kahenga nuksii bin balaa huko ndo kwa waswahili haswaaa,yaani wazazi na kulea na malezi ni vitu viwli tofauti ,yaaani malezi mabovu mno!!!wanaiba mchana kweupee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…