Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

Nimeisoma , ila nimekuwa mdogo Kama piliton.

Yaani, mabinti na mama zao umeweka chali, wanafunzi, wauza korosho, ubuyu, bar, hotel, usafi hotelini!!

Kweli wewe ni kimeo.
 
sasa wewe dada zako wale wawili ulidhan wajifanya kazi hotelin hawataliwa. siwema yupo wapi siku hizi simwoni pale hotelin

Duuuuuuh,

Mkuu, unanifahamu!

Asante , wote wako vizuri. Niwaambiaje nikifika nyumbani!?
 
ha ha ha.nlikuwa shem wako....mpe namba yangu siwema mwambie asinikimbie yale mambo nliacha. na ile pesa 30,000 alikuletea?

Haa haa hasa ,

Mkuu, ule mtaa tuliokuwa tunaishi nimeusahau jina hebu nikumbushe .

Pia , namba yako sina hebu nitumie nitamfikishia.

Daah, hela hakuniletea aisee atakuwa alikula chips kuku na soda. Si unamkumbuka anavyopenda kula fast food na soda.
 
Ntwaraa unavyoonekana we utarudi tena, watukutu sana, ila unyago wao ni balaa usione mafundi vile wanapikwa wale, wengine hatupendi kuweka wazi CV zetu..ligi za mchangani Ntwara, ligi kuu Tanga..
 
sio kwamba mikoa hiyo ni hatari, ila ewe ndiyo uliyeyaanzisha hayo, hata kama ungeenda Mwanza, Zanzbar, Musoma kwa tabia hizo za kuhonga na kuakaribisha wauza karanga na korosho kwako ni binti gani angekataa na wakati ana njaa zake..... maamuzi ya yote huwa yapo mikononio mwa muhusika mwenyewe
 
Back
Top Bottom