Onyo: Usikubali kwenda mikoa hii. Mke usiruhusu mumeo aende. Mimi Tanga na Tabora siendi tena

Ulyankulu, Tabora mjini na Uyui nimefika nami nikajionea unayosema ni kweli kabisa.

Ila mzee unanilazimisha nitafute sababu ya kufika Mtwara

Nami nakuomba ukanyage Tarime Mara kwa watoto wa Kikulya wa Tarime utarudi kuhadithia.

Kwenye mizagamuano wanachanganya na kile kilugha Chao.
 
Singida, Tanga nimekaa sana, sema Tabora nimeoa toto la kinyamwezi ila sasa huyu mwanamke ataniua kwa visa...

Daaah wakuu anachosema mtoa mada japo ni miaka imepita lakini bado yapo mambo.
Huyu mwanamke ni noma sana ile nyama inapikwa inawekwa kwenye K wakati yupo period anakupa msosi baada ya hapo huruki nahisi kafanya hivo kwangu mi nikiangalia mchagga hata kuloga sijui naumia Mshana Jr ebu mtani wangu nisaidie nalogwa na mnyamwezi huku.

Kila kitu anataka asikilizwe nami nafanya hivo.
 
Tabora watoto wapenda starehe sana.
 
Ulyankulu, Tabora mjini na Uyui nimefika nami nikajionea unayosema ni kweli kabisa.

Ila mzee unanilazimisha nitafute sababu ya kufika Mtwara

Nami nakuomba ukanyage Tarime Mara kwa watoto wa Kikulya wa Tarime utarudi kuhadithia.

Kwenye mizagamuano wanachanganya na kile kilugha Chao.
Hivi wakurya warembo si wachache mnoo?
 
Sirudi tena Arusha wilaya ya KARATU aise kuna kabila wairaq ni wazur hatar alaf hawajui kukataa kabsa yaaan nilkula mama mtu had watoto wake
Aisee wale watoto wa karatu wana unywele mpk mgongon alaf nj wazur weupe
Jesuuuu sempengu murife dont run murife keep running loooh asee parakwingi
 
Pale kuna totoZ mkuu...kwa walafi hurudi kwenu🤣🤣
Aseee siku hizi ni balaa tupu totoz za kumwaga kila pande ila mi nimejifunza kitandani kuna totoz zinafunguka na kujituma sana binafsi my wife ni wa huko anajituma....
Tanga, na mtwara naona sio haba shida ni hawa dada zangu wakichagga mkuu hawana maajabu hata awe pisi kali.🤣
 
Sasa kujituma na tabia wapi bora?
Mimi mwanamke akiwa na tabia njema hata asijue kushughulika sana hainipi shida
 
Tabora ina watoto sana, shida wana uswahili mwingi.
Tanga ndio huwa suwachekei hao watoti.
Ukiwachekea utapotea mazima
Totoz za Tanga mkuu ni balaa ni wazuri mno kuna chalii mmoja mnigeria niliwahi kutana naye dodoma...
Katika stori zetu akaniambia yupo chuo fulani hapa bongo lakini alienda Tanga akashangaa kuona pisi kali mno hajawahi ona wanawake wazuri vile.

nami kwa sababu nimeishi Tanga nikamwambia Tanzania tumebarikiwa na hao wanawake..... Tanga wapo wazuri broh, watu wanasema manyara sijui singida ila broh Tanga ni funga kazi.
 
Unaijua Manyara wewe?
 
Back
Top Bottom