Beauty beauty
Member
- Jan 5, 2023
- 29
- 177
Mimi ngoja niende Mtwara kwanza nikirudi nitakuja kusimulia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tabora watoto wapenda starehe sana.Singida, Tanga nimekaa sana, sema Tabora nimeoa toto la kinyamwezi ila sasa huyu mwanamke ataniua kwa visa...
Daaah wakuu anachosema mtoa mada japo ni miaka imepita lakini bado yapo mambo.
Huyu mwanamke ni noma sana ile nyama inapikwa inawekwa kwenye K wakati yupo period anakupa msosi baada ya hapo huruki nahisi kafanya hivo kwangu mi nikiangalia mchagga hata kuloga sijui naumia Mshana Jr ebu mtani wangu nisaidie nalogwa na mnyamwezi huku.
Kila kitu anataka asikilizwe nami nafanya hivo.
Hivi wakurya warembo si wachache mnoo?Ulyankulu, Tabora mjini na Uyui nimefika nami nikajionea unayosema ni kweli kabisa.
Ila mzee unanilazimisha nitafute sababu ya kufika Mtwara
Nami nakuomba ukanyage Tarime Mara kwa watoto wa Kikulya wa Tarime utarudi kuhadithia.
Kwenye mizagamuano wanachanganya na kile kilugha Chao.
Watoto wanapenda bata sana....sema ni wasaliti sana na hata wanaume wao ni wasaliti japo wanatabia za kisukuma kidogo.Tabora watoto wapenda starehe sana.
Jesuuuu sempengu murife dont run murife keep running loooh asee parakwingiSirudi tena Arusha wilaya ya KARATU aise kuna kabila wairaq ni wazur hatar alaf hawajui kukataa kabsa yaaan nilkula mama mtu had watoto wake
Aisee wale watoto wa karatu wana unywele mpk mgongon alaf nj wazur weupe
SahihiWatoto wanapenda bata sana....sema ni wasaliti sana na hata wanaume wao ni wasaliti japo wanatabia za kisukuma kidogo.
Wewe wa Tabora mkuu.Sahihi
No, niliwahi kuwa kikazi kwa muda.Wewe wa Tabora mkuu.
Oooh sawa kiongozi.No, niliwahi kuwa kikazi kwa muda.
Unaifahamu club flani iliungua moto wakati wa discko la watoto?
Upande wa pili ni club ya wakubwa tena ghorofani?
Pale kuna totoZ mkuu...kwa walafi hurudi kwenu🤣🤣Oooh sawa kiongozi.
Aseee siku hizi ni balaa tupu totoz za kumwaga kila pande ila mi nimejifunza kitandani kuna totoz zinafunguka na kujituma sana binafsi my wife ni wa huko anajituma....Pale kuna totoZ mkuu...kwa walafi hurudi kwenu🤣🤣
Sasa kujituma na tabia wapi bora?Aseee siku hizi ni balaa tupu totoz za kumwaga kila pande ila mi nimejifunza kitandani kuna totoz zinafunguka na kujituma sana binafsi my wife ni wa huko anajituma....
Tanga, na mtwara naona sio haba shida ni hawa dada zangu wakichagga mkuu hawana maajabu hata awe pisi kali.🤣
Totoz za Tanga mkuu ni balaa ni wazuri mno kuna chalii mmoja mnigeria niliwahi kutana naye dodoma...Tabora ina watoto sana, shida wana uswahili mwingi.
Tanga ndio huwa suwachekei hao watoti.
Ukiwachekea utapotea mazima
Unaijua Manyara wewe?Totoz za Tanga mkuu ni balaa ni wazuri mno kuna chalii mmoja mnigeria niliwahi kutana naye dodoma...
Katika stori zetu akaniambia yupo chuo fulani hapa bongo lakini alienda Tanga akashangaa kuona pisi kali mno hajawahi ona wanawake wazuri vile.
nami kwa sababu nimeishi Tanga nikamwambia Tanzania tumebarikiwa na hao wanawake..... Tanga wapo wazuri broh, watu wanasema manyara sijui singida ila broh Tanga ni funga kazi.