ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

Niliwahi kuona documentary kama 3 hivi zinazungumzia suala hilo na zote zilikuwa kutoka Uganda. Wanawake wanalalamika kuwa wanaume zao wanaforce kunyonya matiti wakati wananyonyesha. Wakawa wanalalamika watoto kukosa maziwa ya kutosha!!! Nilishangaa sana nikasema hao wanaume watakuwa na matatizo ya akili si bure.
Nadhani mpaka bbc walitoa story kuhusu hilo kule nchini Uganda.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Ni ajabu Sana kuna watu wanafanya hivi bila hata aibu wala kinyaa.
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Yeye mwenyewe alimruhusu mmewe kumnyonya, hilo si kosa la jinai ni malavu tu.
 
Yamuhusu nini yeye? Aliwahi kuletewa mashtaka kwamba watoto hawapati maziwa ya kutosha?
Hata hivyo sisi tumejikita na kunyonya matiti sio maziwa.
 
mimi ndio nanyonya mpaka nasinzia kwenye nyonyo kabisaa mpaka mtoto akiamka usingizini ndio na mimi natoka tunapeana zamu mimi na mtoto maana wakati mwingine maziwa yanamzidia mtoto kanapaliwa tu
Tena raha yake sasa mke akivaliahe nepi akupakate huku anakunyonyesha
 
Kwani ameshindwa kumkemea mumewe huko nyumbani hadi ayapeleke bungeni?

Eti huyo ni mheshimiwa
 
Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
Huyu viti maalimu hajawahi kukutana na wenye fani zao ataomba pooh, hajawahi kunyonywa.
 
Atupishe huko!!
 
Attachments

  • download (4).jpg
    download (4).jpg
    9.2 KB · Views: 9
Back
Top Bottom