ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi (CCM) kamemea tabia hiyo alipokuwa akichangia mjadala wa kupitisha makadiro ya mapato na matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu leo bungeni.

Amekemea tabia na vitendo vya wanaume wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha watoto, akidai kitendo hicho ni cha kutesa watoto.
nafikiri hili ndilo aliagizwa na wapiga kura wake
 
Wabunge wa ccm bhana!ila huyu enzi zake alikuwa danga sana
 
Mbona ashua na chuchu zinaliwa na zinamezwa ndiyo itakuwa hizo fresh! Hujawahi kunyonyeshwa wewee.
Nanyonyeshwa kwa maigizo ya kunyegereshana na siyo kunyonyeshwa kwa ajili kumeza maziwa ya mwanamke ili kushiba.
 
Back
Top Bottom