ONYO: Wanaume Kunyonya Maziwa ya Wake zenu

Kwani wanaonyonywa wanasemaje?
Jamani mnaonyonywa, njooni huku kuna mjadala wenu kuna mtu kaliamusha dude 😂😂
 
Nadhani mpaka bbc walitoa story kuhusu hilo kule nchini Uganda.
 
Ni ajabu Sana kuna watu wanafanya hivi bila hata aibu wala kinyaa.
 
Yeye mwenyewe alimruhusu mmewe kumnyonya, hilo si kosa la jinai ni malavu tu.
 
Yamuhusu nini yeye? Aliwahi kuletewa mashtaka kwamba watoto hawapati maziwa ya kutosha?
Hata hivyo sisi tumejikita na kunyonya matiti sio maziwa.
 
mimi ndio nanyonya mpaka nasinzia kwenye nyonyo kabisaa mpaka mtoto akiamka usingizini ndio na mimi natoka tunapeana zamu mimi na mtoto maana wakati mwingine maziwa yanamzidia mtoto kanapaliwa tu
Tena raha yake sasa mke akivaliahe nepi akupakate huku anakunyonyesha
 
Kwani ameshindwa kumkemea mumewe huko nyumbani hadi ayapeleke bungeni?

Eti huyo ni mheshimiwa
 
Huyu viti maalimu hajawahi kukutana na wenye fani zao ataomba pooh, hajawahi kunyonywa.
 
Atupishe huko!!
 

Attachments

  • download (4).jpg
    9.2 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…