SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Usiwastue wache wajichanganyeNatoa Angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana , hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala , kkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger , Potelea mbali .
Rais kutoa hela za kusaidia michezo , kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi , msijitoe ufahamu .
Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono , kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza , Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Rais si wa CCM peke yao ni wa Watanzania wote.
Jaribuni muoneTZ bhana, yaani anayetoa ONYO NI MBUGILA FULANI KUTOKA KIVULE HUKO.
Kmmmk wallah
Unakatwa wewe sio bure...
We mwanamke unamtisha nani apa,we kolo mechi haiwahusu hii kaeni mbali
Uliona wapi Rais Biden ananunua magoli ya Seattle Sounders au timu yoyote ya MLS kwa pesa ya umma?Natoa Angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana , hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala , kkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger , Potelea mbali .
Rais kutoa hela za kusaidia michezo , kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi , msijitoe ufahamu .
Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono , kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza , Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Uliona wapi Rais Biden ananunua magoli ya Seattle Sounders au timu yoyote ya MLS kwa pesa ya umma?
Hiyo inatokea tu kwenye sh..t h..le countries
Sio siasa ni mapenzi kwa mama yetu mpendwa SSHAcheni utumwa wa fikra bango abebe mwenyekiti mwenyewe Ni Aibu kuleta siasa ndani ya uwanja
Taifa letu limekuwa linawakumbatia watu wanao jitoa ufahamu tumefika hapa tulipo kutokana na tabia za watu waliopewa dhamana kujitoa ufahamuNatoa Angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana , hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala , kkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger , Potelea mbali .
Rais kutoa hela za kusaidia michezo , kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi , msijitoe ufahamu .
Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono , kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza , Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Wewe ulizaliwa na mama wangapi...!!!Sio siasa ni mapenzi kwa mama yetu mpendwa SSH
Biden na mpira wapi na wapi?mbona mbona husemi Macron akiiacha ikulu akienda kumtia moyo Mbappe??au Biden kwa vile ni basha wako unataka wote tuwe kama wwUliona wapi Rais Biden ananunua magoli ya Seattle Sounders au timu yoyote ya MLS kwa pesa ya umma?
Hiyo inatokea tu kwenye sh..t h..le countries
Lucas mwashambwaYanga Ni yetu
CCM Ni yetu
Rais Samia Ni wetu
Tutayabeba mabango ya Rais wetu
Liwalo na liwe
Ukivaa ule mtishirt wa magufuli wa kampeni hautofautiani na mifulana ya utoUnatenganishaje Yanga na CCM?
Hao ni identical twins ona hadi sare wana shea