Natoa Angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana , hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala , kkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger , Potelea mbali .
Rais kutoa hela za kusaidia michezo , kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi , msijitoe ufahamu .
Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono , kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza , Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu ?
Sent from my SM-J500H using
JamiiForums mobile app