Onyo: Yanga Mkithubutu kubeba mabango ya Mwenyekiti wa CCM kwa Mkapa, Msimlaumu mtu

Natoa Angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana , hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala , kkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger , Potelea mbali .

Rais kutoa hela za kusaidia michezo , kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi , msijitoe ufahamu .

Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono , kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza , Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Usiwastue wache wajichanganye
 
Uliona wapi Rais Biden ananunua magoli ya Seattle Sounders au timu yoyote ya MLS kwa pesa ya umma?
Hiyo inatokea tu kwenye sh..t h..le countries
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hatutaki mambo ya michezo yachanganywe na siasa, hawa wana siasa siku zote hawajishughulishi kuendeleza michezo ila wanaonekana tu pale wanapoona mafanikio ambayo hawakuchangia kuyaleta.

Ccm imepora viwanja vya umma na kuvigeuza mali zake huku wakiacha vikiharibika huku wenyewe wakipiga pesa.

Hii serikali haina mchango wowote katika uendelezaji wa michezo na wao wanachofanya ni kutumia michezo kama njia ya kujijenga kisiasa na si vinginevyo. Hovyo sana.
 
Natoa Angalizo hili mapema ili tusije kulaumiana , hayo mabango yenu yaishie kwenye hizo Jogging zenu za Mbagala , kkileta ujinga huo uwanjani tunashangilia USM Alger , Potelea mbali .

Rais kutoa hela za kusaidia michezo , kununua magoli au tiketi haimaanishi kuwa hela zinazotumika ni zake binafsi , msijitoe ufahamu .

Chezeni game yenu kistaarabu mtaungwa mkono , kubeba mabango yasiyohusika na michezo hata FIFA ilishakataza , Kwanza mliona Nchi gani inafanya hayo madudu yenu ?

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Taifa letu limekuwa linawakumbatia watu wanao jitoa ufahamu tumefika hapa tulipo kutokana na tabia za watu waliopewa dhamana kujitoa ufahamu
 
Uliona wapi Rais Biden ananunua magoli ya Seattle Sounders au timu yoyote ya MLS kwa pesa ya umma?
Hiyo inatokea tu kwenye sh..t h..le countries
Biden na mpira wapi na wapi?mbona mbona husemi Macron akiiacha ikulu akienda kumtia moyo Mbappe??au Biden kwa vile ni basha wako unataka wote tuwe kama ww
 
Back
Top Bottom