Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nyumba kwa Nyumba.....mtu kwa mtuNi mikutano ya kata kwa kata au kijiji kwa kijiji?
Alipiga push up ngapi ?Ni jambo jema
Kuna Siku Shujaa Magufuli alipiga Mikutano 12 Alikuwa anatoka Dar kwenda Dodoma, mkutano wa Kwanza ulikuwa maili Moja Kibaha wa Mwisho akaufanyia Mbande njia [emoji209] ya Mpwapwa
Mola sanaBhageshi Yawiza sana...
Tundu Antipas Lisu?Alipiga push up ngapi ?
Chama la WaTanzaniaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini
Kama Kawaida yake , Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali akiwemo Damas Ndumbaro
Amesema Katiba Mpya itazuia wananchi kuporwa migodi yao .
Hii hapa ni kata ya Nkololo.
View attachment 2735847View attachment 2735848
Mkuu mbona tuliambiwa CHADEMA inafahamika mjini tu na kwamba vijijini hawawezi wasikiliza? Imekuaje Tena Bariadi vijijini pakatapika umati? Au mme-Edit picha!!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini
Kama Kawaida yake , Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali akiwemo Damas Ndumbaro
Amesema Katiba Mpya itazuia wananchi kuporwa migodi yao .
Hii hapa ni kata ya Nkololo.
View attachment 2735847View attachment 2735848
Mungu Ibariki CHADEMAKuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema , Tundu Lissu leo amevurumisha mikutano 5 mfululizo kwenye jimbo moja tu la Bariadi Vijijini
Kama Kawaida yake , Lissu amewaomba Wananchi waunge mkono chama chake ili Katiba mpya ipatikane sasa badala ya porojo za viongozi wa serikali akiwemo Damas Ndumbaro
Amesema Katiba Mpya itazuia wananchi kuporwa migodi yao .
Hii hapa ni kata ya Nkololo.
View attachment 2735847View attachment 2735848
Acha uongooooooNi jambo jema
Kuna Siku Shujaa Magufuli alipiga Mikutano 12 Alikuwa anatoka Dar kwenda Dodoma, mkutano wa Kwanza ulikuwa maili Moja Kibaha wa Mwisho akaufanyia Mbande njia [emoji209] ya Mpwapwa
πππ Nilikuwa msafarani Bwashee kama sio giza na mambo ya protocol ingefika hata Mikutano 20!Acha uongoooooo
Kila jambo na wakati wake.Chadema issue siyo wafuasi na wapiga kura. Tatizo ni kwamba hata chadema ikishinda ccm wanapora ushindi.
Kwahiyo mapambano yaelekezwe kwenye upatikananji wa katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
Kila baada mkutano mmoja alikuwa akipelekwa garage.πππ Nilikuwa msafarani Bwashee kama sio giza na mambo ya protocol ingefika hata Mikutano 20!
πππππMkuu mbona tuliambiwa CHADEMA inafahamika mjini tu na kwamba vijijini hawawezi wasikiliza? Imekuaje Tena Bariadi vijijini pakatapika umati? Au mme-Edit picha!!
Mkuu 'Sex', tunarudiarudia haya haya kiasi kwamba hadi yanapoteza maana halisi.Chadema issue siyo wafuasi na wapiga kura. Tatizo ni kwamba hata chadema ikishinda ccm wanapora ushindi.
Kwahiyo mapambano yaelekezwe kwenye upatikananji wa katiba mpya na hatimaye tume huru ya uchaguzi.
AmenMungu Ibariki CHADEMAView attachment 2735967
Kila siku siyo JumapiliMkuu 'Sex', tunarudiarudia haya haya kiasi kwamba hadi yanapoteza maana halisi.
Ninakubaliana na wewe moja kwa moja, kwamba kwa hali ya sasa, CHADEMA tatizo si kuishinda CCM, kwa sababu hili lipo wazi kabisa kwa wakati huu.
"CCM kupora ushindi" - hili ndilo tunalowahimiza CHADEMA walifanyie kazi usiku na mchana kwa sasa; kukomesha kabisa tabia hiyo ya CCM.
"CCM kupora ushindi" siyo swala la Katiba linaloruhusu uporaji wa kura. Hata hii Katiba mbovu tuliyo nayo sasa hivi, haiwaruhusu CCM kupora kura; na nijuavyo mimi, hakuna sheria yoyote inayowapa ruhusa CCM kupora kura.
Kwa hiyo, tabia hiyo ya CCM ni UHARIFU. CCM wanavunja sheria na Katiba iliyopo sasa wanapopora kura.
Sasa swali la kujiuliza, inakuwaje watu tukafikia hatua ya kudhani kuwa CCM kupora kura ni halali yao kufanya hivyo?
Kwa nini nchi nzima imechukulia jambo hili la kiharifu liwe kama jambo la kawaida linapofanywa na CCM?
Ninachopendekeza mimi, ni kwa CHADEMA kulifanyia kazi jambo hili, na hasa hasa kulifikisha kwa wananchi walielewe vyema, na wananchi hao wawe sehemu ya kukataa UHARIFU unaofanywa na CCM.
Hii ndiyo kazi kubwa wanayotakiwa kuifanya CHADEMA wakati huu na kuendelea hadi kufikia chaguzi za 2024/2025.
Huku kulilia Katiba Mpya, pamoja na kuwa jambo jema, lakini hakuna manufaa yoyote kwa muda huu uliopo sasa. CCM wenyewe wamekwishajihakikishia kuwa hili siyo swala tena kabla ya chaguzi hizo zinazofuata.