Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi hii , na sasa wananchi wote wamejua kila kitu .

Akizungumza Mjini Musoma Freeman Mbowe amesema kwamba CHADEMA HAITAKUBALI UCHAGUZI USIMAMIWE NA TAMISEMI , INATAKA USIMAMIWE NA TUME HURU YA UCHAGUZI , kwahiyo kudhani Tamisemi ikiongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa ccm ndio tiketi ya kuiba uchaguzi ni sawa na kujidanganya .

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa uchache tu

 
Duh!!!.!
Eryth unatutesa...balaa
Chongolo vp?????!!@
 
Kiu ya wananchi kutaka mabafiliko chanya inaongezeka kila uchao.

Naona mikutano ya CDM hairipotiwi na mainstream media.

Bado Nape amekaza? Je inamsaidia nani kufanya cencorship
 
Naliona nyoming hapo, duh!
 
Hakuna namna sasa zaidi ya sasa CCM kutema bungo. Na ni lazima nyani ateme bungo.
 
Duh!!!.!
Eryth unatutesa...balaa
Chongolo vp?????!!@
Chongolo atatokea wapi!? Kwani unafikiri watazijibu vipi hoja za chadema wkt ni kweli serikali ya chama Chao imeuza nchi Kwa waarabu na mkataba umedakwa live?? Ni sawa na kufumania dume likichepuka na mkeo kitandani kwako,mke Hana Cha kujitetea na hata ndg zake hawawezi kumtetea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…