kitonsa
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 1,211
- 2,649
hii inaitwa mwana ukomeMkuu Hakuna TV inayozidi JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii inaitwa mwana ukomeMkuu Hakuna TV inayozidi JF
Usishangae wale wadudu wakaao kwenye uchafu a.k.a "Chawa wa Mama" kina FaizaFoxy ChoiceVariable Lord denning Lucas mwashambwa and others yaliyojifungia ndani tu kwenye vyumba pale Lumumba yakasema hizi picha ni za mwaka 2015 wakati wa mafuriko ya Edward Lowassa..!Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi hii , na sasa wananchi wote wamejua kila kitu .
Akizungumza Mjini Musoma Freeman Mbowe amesema kwamba CHADEMA HAITAKUBALI UCHAGUZI USIMAMIWE NA TAMISEMI , INATAKA USIMAMIWE NA TUME HURU YA UCHAGUZI , kwahiyo kudhani Tamisemi ikiongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa ccm ndio tiketi ya kuiba uchaguzi ni sawa na kujidanganya .
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa uchache tu
View attachment 2737814View attachment 2737814View attachment 2737815View attachment 2737816View attachment 2737817
DC wa eneo hilo ajipange......au aanze kutafuta mashamba kama Ali HapyTulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi hii , na sasa wananchi wote wamejua kila kitu .
Akizungumza Mjini Musoma Freeman Mbowe amesema kwamba CHADEMA HAITAKUBALI UCHAGUZI USIMAMIWE NA TAMISEMI , INATAKA USIMAMIWE NA TUME HURU YA UCHAGUZI , kwahiyo kudhani Tamisemi ikiongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa ccm ndio tiketi ya kuiba uchaguzi ni sawa na kujidanganya .
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa uchache tu
View attachment 2737814View attachment 2737814View attachment 2737815View attachment 2737816View attachment 2737817
Ukombozi unakaribiaUsishangae wale wadudu wakaao kwenye uchafu a.k.a "Chawa wa Mama" kina FaizaFoxy ChoiceVariable Lord denning Lucas mwashambwa and others yaliyojifungia ndani tu kwenye vyumba pale Lumumba yakasema hizi picha ni za mwaka 2015 wakati wa mafuriko ya Edward Lowassa..!
Hii ni kweli kabisa ni Musoma mjini leo J'pili tarehe 3/9/2023. Hali ya umati kujitokeza kwa maelfu ilikuwa hivyo kote huko Bunda, Mwibara, Butiama, Kiabakari nk...
Kiukweli kabisa ukifanyika uchaguzi HURU na HAKI leo au kesho, CCM haina ubavu hata kidogo kushinda ktk nafasi yoyote kuanzia mitaa/vijiji, udiwani, ubunge na u - Rais..
Na hii si kwa sababu tu ya maelfu ya watu mijini na vijijini wanaojitokeza kwenye mikutano ya CHADEMA, bali ni kwa sababu, miaka hii watu wameamka na wana uelewa mkubwa wa wajibu na haki zao za kisiasa, kijamii na kiuchumi kuliko ilivyokuwa miaka 5 au 10 iliyopita..
Na mimi naweza kusema bila shaka yoyote na bila kumung'unya maneno kuwa, huyu mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ndiyo nuksi ya CCM 100% na ndiyo atakayesaidia kuiangusha na kuizika CCM forever ♾️♾️
Ishu ya mkataba wa bandari wao CCM wanaiona ni ishu ya kawaida. Lakini ukweli ni kuwa Watanganyika wamechukia sana..
Hongereni sana CHADEMA kwa sababu hii "sumu" mnayoimwaga dhidi ya CCM na serikali yao dhalimu, inafanya kazi sawia na inawaua CCM taratibu...
Tundu Lissu & Freeman Mbowe kongole Kwa kujitolea kuongoza Ukombozi wa pili wa Tanganyika. Tupo nyuma yenu, tupo wengi mno nyuma yenu ndani ya serikali na tunawaunga mkono Kwa 100%..
SONGENI MBELE. TUNAKARIBIA KUFIKA NA TUMESHAFIKA..
HeheheKwacha emusoma! Na atamaliza miaka yake iliyobaki bila ya kukanyaga Mara kina Wasira wanamdanganya.
Aisee hii sasa ni hatariMpaka vyombo vya Television VIMEJIFICHA
FYEKA FYEKA PORI OP !!!!!
Deep State wanawapunja wananchi........Deep Stateeee sikilizeni kilio cha Wananchi ccm wameichoka.Hakuna namna sasa zaidi ya sasa CCM kutema bungo. Na ni lazima nyani ateme bungo.
Na imechagizwa na DPW na uchumi wa tozoKiu ya wananchi kutaka mabafiliko chanya inaongezeka kila uchao.
Naona mikutano ya CDM hairipotiwi na mainstream media.
Bado Nape amekaza? Je inamsaidia nani kufanya cencorship
Huwezi kuzuia mafuriko kwa mikonoHahaa mnanikumbusha mafuriko ya lowasa.
Dr Slaa atajuta kukimbia vita.Duh, Mbowe wa moto sana...
Ila wamekuja wenyewe hawajaletwa na mafuso kutoka Geita.Wengi hapo wamekuja kushangaa helicopter
He was cheated....Dr Slaa atajuta kukimbia vita.
Ni kweli kiu ya mabadiliko ni kubwa sana kwa watanzania. Tatizo ni wagombea wa uraisi wanaosimamishwa na vyama vya upinzani!!Kiu ya wananchi kutaka mabafiliko chanya inaongezeka kila uchao.
Naona mikutano ya CDM hairipotiwi na mainstream media.
Bado Nape amekaza? Je inamsaidia nani kufanya cencorship
Mnajidanganya na kujiriwadha tu CCM bado chama kubwa Mara.Tulionya mapema sana lakini tukapuuzwa , Tulisema kwamba Chadema ikipewa nafasi ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara , ccm haina pa kutokea , hii ni kwa sababu ccm ndio chama kilicholeta kila dhiki , shida , njaa , ugumu wa maisha , ukosefu wa dola , tozo na kila aina ya uchafu kwenye nchi hii , na sasa wananchi wote wamejua kila kitu .
Akizungumza Mjini Musoma Freeman Mbowe amesema kwamba CHADEMA HAITAKUBALI UCHAGUZI USIMAMIWE NA TAMISEMI , INATAKA USIMAMIWE NA TUME HURU YA UCHAGUZI , kwahiyo kudhani Tamisemi ikiongozwa na mkwe wa Mwenyekiti wa ccm ndio tiketi ya kuiba uchaguzi ni sawa na kujidanganya .
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa kwa uchache tu
View attachment 2737814View attachment 2737814View attachment 2737815View attachment 2737816View attachment 2737817
wakifika wanakutana na nondo za kutosha! wanaelimika, wanajua wanavyoonewa na watawala.Wengi hapo wamekuja kushangaa helicopter
Hivi hawa chawa, ata hii kero ya kukosekana mafuta hawaioni???Usishangae wale wadudu wakaao kwenye uchafu a.k.a "Chawa wa Mama" kina FaizaFoxy ChoiceVariable Lord denning Lucas mwashambwa and others yaliyojifungia ndani tu kwenye vyumba pale Lumumba yakasema hizi picha ni za mwaka 2015 wakati wa mafuriko ya Edward Lowassa..!
Hii ni kweli kabisa ni Musoma mjini leo J'pili tarehe 3/9/2023. Hali ya umati kujitokeza kwa maelfu ilikuwa hivyo kote huko Bunda, Mwibara, Butiama, Kiabakari nk...
Kiukweli kabisa ukifanyika uchaguzi HURU na HAKI leo au kesho, CCM haina ubavu hata kidogo kushinda ktk nafasi yoyote kuanzia mitaa/vijiji, udiwani, ubunge na u - Rais..
Na hii si kwa sababu tu ya maelfu ya watu mijini na vijijini wanaojitokeza kwenye mikutano ya CHADEMA, bali ni kwa sababu, miaka hii watu wameamka na wana uelewa mkubwa wa wajibu na haki zao za kisiasa, kijamii na kiuchumi kuliko ilivyokuwa miaka 5 au 10 iliyopita..
Na mimi naweza kusema bila shaka yoyote na bila kumung'unya maneno kuwa, huyu mama (Rais Samia Suluhu Hassan) ndiyo nuksi ya CCM 100% na ndiyo atakayesaidia kuiangusha na kuizika CCM forever ♾️♾️
Ishu ya mkataba wa bandari wao CCM wanaiona ni ishu ya kawaida. Lakini ukweli ni kuwa Watanganyika wamechukia sana..
Hongereni sana CHADEMA kwa sababu hii "sumu" mnayoimwaga dhidi ya CCM na serikali yao dhalimu, inafanya kazi sawia na inawaua CCM taratibu...
Tundu Lissu & Freeman Mbowe kongole Kwa kujitolea kuongoza Ukombozi wa pili wa Tanganyika. Tupo nyuma yenu, tupo wengi mno nyuma yenu ndani ya serikali na tunawaunga mkono Kwa 100%..
SONGENI MBELE. TUNAKARIBIA KUFIKA NA TUMESHAFIKA..
na wizi wa kuraHahaa mnanikumbusha mafuriko ya lowasa.