Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

Oparesheni 255 yateketeza CCM Musoma Mjini bila huruma yoyote, imezikwa rasmi

Ni kweli kiu ya mabadiliko ni kubwa sana kwa watanzania. Tatizo ni wagombea wa uraisi wanaosimamishwa na vyama vya upinzani!!
Twende na wabunge.

Rais atapatikana kupitia impeachment
 
Hata ikifa nchi haina hasara Wala haitasimama,nchi si chama
 
Back
Top Bottom