bitare Senior Member Joined Jul 13, 2023 Posts 196 Reaction score 599 Sep 3, 2023 #61 darcity said: Wengi hapo wamekuja kushangaa helicopter Click to expand... Walijaa kabla hata helicoter haijaja ikumbukwe Mboe ambae hutembea nayo alifika dakika zamwisho.
darcity said: Wengi hapo wamekuja kushangaa helicopter Click to expand... Walijaa kabla hata helicoter haijaja ikumbukwe Mboe ambae hutembea nayo alifika dakika zamwisho.
Msanii Platinum Member Joined Jul 4, 2007 Posts 25,252 Reaction score 36,513 Sep 4, 2023 #62 wababayangu said: Ni kweli kiu ya mabadiliko ni kubwa sana kwa watanzania. Tatizo ni wagombea wa uraisi wanaosimamishwa na vyama vya upinzani!! Click to expand... Twende na wabunge. Rais atapatikana kupitia impeachment
wababayangu said: Ni kweli kiu ya mabadiliko ni kubwa sana kwa watanzania. Tatizo ni wagombea wa uraisi wanaosimamishwa na vyama vya upinzani!! Click to expand... Twende na wabunge. Rais atapatikana kupitia impeachment
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Sep 4, 2023 #63 Hata ikifa nchi haina hasara Wala haitasimama,nchi si chama