coplicator
Member
- Jul 12, 2020
- 6
- 11
That sovereighnity is the devil's hiden secret ...you kill people intentionally because of political interest not otherwise! I know this letter is nothing to you until your stiff neck is broken!Stupid guys...very stupid indeed...how could you interfere with our affairs?! Stupid colonialists/imperialists.,stupid democracy..
Na mtabakia kuwa graduates wapumbavu forever.Umesoma degree ya 'horticulture' halafu unategemea mambo makubwa.Nenda ukalime maua huko na utatoboa kuliko kumshabikia lissu ambaye ameshapoteza uelekeo.Anadhani kuandika haya mabarua na kutoa copy za kipuuzi ndiyo anatengeneza .Anazidi kuharibu.Hapo nyuma nilikuwa simuungi mkono Lisu ila nahisi labda ndo our Saviour kutoka maisha ya kijinga tunayoishi kwa sasa...mimi na graduates wengine tunataabika kwenye uongozi wa huyu Mkulu
Zaidi yako sheikh!Umeelewa kwanza ?
Pia it sounds kama vile hawa jamaa wanawapiga mkwara waliowataja na ukiangalia vizuri unaweza sema Wana blackmail this leaders of our sovereign state..not that I want/wish anything bad to happen to their so called client but who the hell they think they are to make Demands!?...All mentioned individuals take orders from our elected leader only and no any local or foreign entity can push them around regardless of the situation at hand...now I understand why the ruling party is sometimes refering to these individuals as the agents of foreign exploiters.
Uhuru huo mliupata kwa njia ipi au huu wa bendera aliokabidhiwa jk nyerere kama maandazi huko uingereza? think big niggaTanzania Ni Nchi Huru
Inajiamulia Mambo Yake, Siyo Mabeberu!!!
Haya kayaa dika Lissu mwenyewe, ili kujimwambafai! Hakuna cha Amsterdam au London.Hii inaitwa ukisimama nchale ukikaa nchale, CCM wametaitishwa kwenye angle ngumu sana mwaka huu.
Go Lissu . Our President from October 2020
Wewe unaidangamya hata nafsi yako mwenyewe..
Haya basi! Lisu atashinda na kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania kupitia chadema
If I may ask, are you a cave dweller?Am sorry to say, but I discourage all African parents planning to send their children overseas to be educated...Don't do it..some of them are easily assimilated and sent back to our societies to pollute the rest of the population...very sad.
Affairs yenu ni kuuwa watu, kufunga BILA makosa,kutesa ,kupoteza watz wanaokuwa kinyume na matakwa yenu? KAMA NDIVYO BASI NINYI MTAKUWA MNA DUNIA YENU YA CHTLStupid guys...very stupid indeed...how could you interfere with our affairs?! Stupid colonialists/imperialists.,stupid democracy..
"Namna yoyote ile" wananchi wataikataa, kwa hiya siyo "aina yoyote ile", umeelewa?Yaani nyie watu huwa nawashangaa sana, na ww unakaa Unawaza kabisa eti Lissu atashinda mbele ya magufuri.!!!!!
Nyie kamilisheni utaratibu tu, Magufuri yeye ndio atapita kwa namna yoyote ile
Kwani kuna anayekulazimisha usiamini hivyo?Ata useme vipi magufuri ndio atapita, nyie mnakuwa kama mapopoma inamaana mpka leo hamjui ccm huwa inafanya nn. Nyie nendeni mkakamilishe ratiba tu,