Tetesi: Operation KAKUCHA yazaliwa Arusha baada ya UKUTA kuyeyuka

Status
Not open for further replies.
Umeniita hivyo ukanikumbusha member mmoja wa kuitwa Ocampo Four...
Wherever you are Ocampo,I miss you [emoji24][emoji24][emoji24]
Ha ha ha ha nifaa enzi hizo ocampo aliiminisha jf lowasa anakua raisi akishirikiana na Agwambo
.

Aliandika saaana akiamini uraisi unapatikana jf nilikua nikimpa za usoo na id zangu nilizozipumzisha baada ya kazi ya kusaficha chama kukamilika

Pole nifaa Mungu ni mkubwa mwaka 3850 chadema mtashinda usife moyo kufa moyo tuu katika uhai wako hutashuhudia chadema wakiingia ikulu
 


Hahahaha vere fane , siku mwanao akija kujua wewe ndo ulieandika hivi sijui atacheka au atalia amaana dah yaani ni vere fane kweli ccm ina vijana
 
Acheni utoto mbona hamkupigania wakati Dr Slaa anafanyiwa uhuni na kubezwa licha ya mchango wake?
 
Mbowe ni mkubwa zaidi ya CHADEMA ndo maana anawaburuza. Chama kina think tank elimu std 7 mbowe unatarajia mafanikio hapo?

Wewe std gani?? Sijawai ona mtu unakuwa professor halafu lugha uliyo itumia kupata Hugo uprofesor huijui vere fantastic
 
Hakunaga tena kama Ocampo Four.Alijua kuwashika ndio maana....
Hebu nisiseme sana mie.
Moyoni mwangu atabaki kuwa shujaa na nitamkumbuka DAIMA.

Hizo porojo zako kafie nazo mbali...
 
Hakunaga tena kama Ocampo Four.Alijua kuwashika ndio maana....
Hebu nisiseme sana mie.
Moyoni mwangu atabaki kuwa shujaa na nitamkumbuka DAIMA.

Hizo porojo zako kafie nazo mbali...
Mwenye porojo hana dola alie na porojo ana dola

Pole niffaa na shujaa aliefel na lowasa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…