Operation Khartoum, ushindi ni lazima

Hizi expectation kbwa kama hizo ndio huwa zinawaondolea confidense wachezaji wenu....

Jumapili ni kesho kutwa tuuu...
Ni kweli ndugu wacheze defensive game wapande na washuke kwa haraka, Majuzi walifunguka Sana mkuu....!
 
Yanga inaenda makundi CAF CL labda sio huyu Nabi ninaye mjua mimi. Labda sio hii Yanga ninayo ijua. Utapigwa msako mpaka Hilal watasema walipoyaficha magoli ya DSM

Piga msako wa maana

Sent using Jamii Forums mobile app
Nabi alikosea kumpanga Moloko na baadae Kisinda harafu viungo walichoka balaa huku kibwana nae alikimbizwa na yule Winger angembadilisha aingie Romalisa na nilishangaa eti Babu kaju kukaa benchi sijapata majibu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…