Operation Khartoum, ushindi ni lazima

Operation Khartoum, ushindi ni lazima

Graphic za kucopy kama kawa, angefanya mnyama hapo. Ungekuwa ni mjadala wa kitaifa. Kama vipi mkapigwe tu kama madufu!!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nendeni taratibu,mkija vibaya mtakula mkono. Nadhani mnajua madhara ya kufunguka ugenini
 
Uto wanadanganywa na viongozi wao ambao tayari washajua kuwa wameumaliza mwendo.
 
Viongozi wawili wa klabu ya Young Africans, Hafidh Saleh na Rodgers Gumbo wamefika salama Nchini Sudan 🇸🇩, Khartoum kwa ajiri ya maandalizi kuweka sawa mazingira mara tu kikosi cha klabu hiyo itakapowasili Nchini Sudan.

Klabu ya Young Africans itaondoka Tanzania 🇹🇿 siku ya Jumamosi 15 October, 2022 ikiwa na wachezaji 25 kuelekea Nchini Sudan 🇸🇩 kwa ajiri ya mchezo wa marudiano dhidi ya Al Hilal katika Ligi ya klabu bingwa Afrika.
Tunakwenda kuweka mambo sawa wanayanga kuweni watulivu, andaeni mchele nyama tunakuja nazo.....!
FB_IMG_16656551244007606.jpg
 
Back
Top Bottom