Operation Khartoum, ushindi ni lazima

Operation Khartoum, ushindi ni lazima

Nabi alikosea kumpanga Moloko na baadae Kisinda harafu viungo walichoka balaa huku kibwana nae alikimbizwa na yule Winger angembadilisha aingie Romalisa na nilishangaa eti Babu kaju kukaa benchi sijapata majibu...
Ukiachana na ukabaji pia katika kushambulia swala la Feisal kushambulia kutokea chini nayo ilisababisha kutokua na execution nzuri ya nafasi tulizo create. Feisal alicheza vile ili kusaidiana na Aucho katika ukabaji. Sasa hiyo mechi ya Sudan Nabi ajitoe muhanga kwa kumuanzisha tu Mwamnyeto na Job halafu Bangala atengeneze double pivot na Aucho then Feisal mbele yao kushoto Morrison kulia TK hapo tunaweza kuwawin hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TK nimemuona akicheza kwa kasi wakina Azizi K wanabaki nyuma kwa hiyo hata mipira yake inapotea wale jamaa sio wa kukimbia na mpira ni pass nyingi..
 
Yanga ikishinda mniite MBWA Niko pale nimekaa
20220903_163539.jpg
 
Ukiachana na ukabaji pia katika kushambulia swala la Feisal kushambulia kutokea chini nayo ilisababisha kutokua na execution nzuri ya nafasi tulizo create. Feisal alicheza vile ili kusaidiana na Aucho katika ukabaji. Sasa hiyo mechi ya Sudan Nabi ajitoe muhanga kwa kumuanzisha tu Mwamnyeto na Job halafu Bangala atengeneze double pivot na Aucho then Feisal mbele yao kushoto Morrison kulia TK hapo tunaweza kuwawin hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa nabi sio mpuuzi anaijua yanga hii kuliko wewe. Kwa ushauri huu mtakalia miko kumi na huo mlio nao sasa huko nyuma itaku kumi na moja.
 
Khartoum gani???HIVI MNAJUA AL HILAL WANAPATIKANA OMDURMAN SASA HUKO KHARTOUM MNAENDA KUFANYA NINI??
 
Kupania huku kutasababisha wacheze kwa papara na kufanya makosa mengi. Acheni mechi itiririke yenyewe. Hii ni football, ni mchezo tu
 
Ukiachana na ukabaji pia katika kushambulia swala la Feisal kushambulia kutokea chini nayo ilisababisha kutokua na execution nzuri ya nafasi tulizo create. Feisal alicheza vile ili kusaidiana na Aucho katika ukabaji. Sasa hiyo mechi ya Sudan Nabi ajitoe muhanga kwa kumuanzisha tu Mwamnyeto na Job halafu Bangala atengeneze double pivot na Aucho then Feisal mbele yao kushoto Morrison kulia TK hapo tunaweza kuwawin hawa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahha yan uende ugenini bila tahadhari [emoji23][emoji23][emoji23] yan umtegemee bangala tu maana aucho katika ukabaji sio mzuri sana.
 
Back
Top Bottom