Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
20250731_203412.jpg
Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za kisheria, nje ya Afrika Kusini. Harakati hii inajulikana kwa msimamo wake wa kupinga wahamiaji na imekosolewa sana kwa kuwa na chuki dhidi ya wageni (xenophobic),


20250731_203453.png

Malengo ya mwaka 2025/26:
Kwa mwaka 2025, wamepanga kuzuia watoto wa kigeni wasio na hati kuhudhuria shule za umma kuanzia Januari 2026, na wamekuwa wakilenga huduma za afya kwa kuwazuia wahamiaji kupata huduma. Mipango hii imezua mjadala mkali, huku wengi wakilaumu kikundi hicho kwa kukuza chuki na kukiuka haki za binadamu, wakati wengine wakisema kuwa wanashughulikia masuala ya rasilimali zinazopatikana kwa raia wa Afrika Kusini
 
Bila ya kuwa na idadi maalum ya watu wako nchini kila kukicha bajeti itaonekana haitoshelezi. Lazima ujuwe nani yupo nchini kwako kwa usalama wa taifa lako.

Kuna mtu atakubali kuishi na mtu kwenye nyumba yake pasipo na ongezeko la matumizi ya nyumbani kwake?.
 
Nina rafiki zangu Kaburu hapo SA, wengi wanafikiria kuikimbia hiyo nchi na sababu kuu ni uhalifu, rushwa na mambo ya ajabu ajabu yaliyokithiri.
Wengi wanaunga mkono sana ile sera ya Trump kuingia USA maana wapo wengi wenye mitaji na big business ambazo wanaweza kuwekeza popote pale duniani.

Tanzania kama Ina viongozi wenye maono, ni wakati wakuchangamkia fursa kwakuribisha mitaji ya hawa jamaa, wengi wako strong financially and mentally stable.

ndani ya mitaa ya Kabul- Afghanistan.
 
Dudula hailengi Wageni wasio na Vibali vya kuishi ndani ya South Africa,inalenga mgeni yoyote particularly mweusi awe na Vibali ama hana.
Kwasasa (wageni) huruhusiwi ku access hospital za Umma kama huna ID ya South Africa.
Kwani wanapata wapi nguvu ya kuzuia mtu asipate matibabu? Au nayo Serikali ya SA imebariki??
 
Nina rafiki zangu Kaburu hapo SA, wengi wanafikiria kuikimbia hiyo nchi na sababu kuu ni uhalifu, rushwa na mambo ya ajabu ajabu yaliyokithiri.
Wengi wanaunga mkono sana ile sera ya Trump kuingia USA maana wapo wengi wenye mitaji na big business ambazo wanaweza kuwekeza popote pale duniani.

Tanzania kama Ina viongozi wenye maono, ni wakati wakuchangamkia fursa kwakuribisha mitaji ya hawa jamaa, wengi wako strong financially and mentally stable.

ndani ya mitaa ya Kabul- Afghanistan.
Asante kwa hoja hii, nitajitahidi kuiandikia thread independent
 
Kwa wale vijana wetu wanaojipa minamba mara sijui 26,sijui 29 n.k...
Nataman hao Dubula wa wachinje hadharani na kuwabanika moto...ili iwe fundisho kwa wengine wanaokimbia Tz af wanaenda kuwa wapumbavu nchi za watu...

Mimtu inapotea nchi za watu ikirudi bado ni mizigo kwa familia zao...
 
wameji-mobilize makundi kwa makundi na kwenda kuweka kambi kwenye hospital za Umma uku wakikagua ID ya yoyote anayetaka kuingia kupata huduma.
Watanzania wajipange tu kurudi hasa wanaofanya kazi zisizo za kitaaluma
 
wameji-mobilize makundi kwa makundi na kwenda kuweka kambi kwenye hospital za Umma uku wakikagua ID ya yoyote anayetaka kuingia kupata huduma.
Hospital gani ya umma wao wanaweza kukagua ID mkuu yapo maeneo wao wanaweza kufanya uhalifu ila sio maeneo yote yapo maeneo watu wapo SA nao wanasikia tu kama vile waliopo Tanzania mfano watu wanaoishi maeneo kama Centurion na maeneo mengi ya Mzungu mtu mweusi anamuogopa kama Ukoma hakuna kitu anaweza kwenda kufanya.
 
Kwa wale vijana wetu wanaojipa minamba mara sijui 26,sijui 29 n.k...
Nataman hao Dubula wa wachinje hadharani na kuwabanika moto...ili iwe fundisho kwa wengine wanaokimbia Tz af wanaenda kuwa wapumbavu nchi za watu...

Mimtu inapotea nchi za watu ikirudi bado ni mizigo kwa familia zao...
Acha ukatili wewe psycho
 
Fanyeni mrudi kwenu ,kuleta umuhimu wenu kwenye nchi za watu ...
 
Back
Top Bottom