Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

Hospital gani ya umma wao wanaweza kukagua ID mkuu yapo maeneo wao wanaweza kufanya uhalifu ila sio maeneo yote yapo maeneo watu wapo SA nao wanasikia tu kama vile waliopo Tanzania mfano watu wanaoishi maeneo kama Centurion na maeneo mengi ya Mzungu mtu mweusi anamuogopa kama Ukoma hakuna kitu anaweza kwenda kufanya.
Kuna nini cha kuzuia Dudula kwenda Centurion?.
last month walikuwa Tswane hospital na Steve biko hospital(Pretoria)foreigners walizuiwa bila ID ya South hupati huduma ya Afya. otherwise uende hospital binafsi.
 
Attachments

  • Screenshot_20250801_205422_Google.jpg
    Screenshot_20250801_205422_Google.jpg
    265.9 KB · Views: 19
Hospital gani ya umma wao wanaweza kukagua ID mkuu yapo maeneo wao wanaweza kufanya uhalifu ila sio maeneo yote yapo maeneo watu wapo SA nao wanasikia tu kama vile waliopo Tanzania mfano watu wanaoishi maeneo kama Centurion na maeneo mengi ya Mzungu mtu mweusi anamuogopa kama Ukoma hakuna kitu anaweza kwenda kufanya.
 
Attachments

  • Screenshot_20250801_210019_Google.jpg
    Screenshot_20250801_210019_Google.jpg
    291.4 KB · Views: 25
View attachment 3426358 Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za kisheria, nje ya Afrika Kusini. Harakati hii inajulikana kwa msimamo wake wa kupinga wahamiaji na imekosolewa sana kwa kuwa na chuki dhidi ya wageni (xenophobic),

View attachment 3426359
Malengo ya mwaka 2025/26:
Kwa mwaka 2025, wamepanga kuzuia watoto wa kigeni wasio na hati kuhudhuria shule za umma kuanzia Januari 2026, na wamekuwa wakilenga huduma za afya kwa kuwazuia wahamiaji kupata huduma. Mipango hii imezua mjadala mkali, huku wengi wakilaumu kikundi hicho kwa kukuza chuki na kukiuka haki za binadamu, wakati wengine wakisema kuwa wanashughulikia masuala ya rasilimali zinazopatikana kwa raia wa Afrika Kusini
Bila wazungu SA ingekuwa ya hovyo kuliko DRC
 
Kwa wale vijana wetu wanaojipa minamba mara sijui 26,sijui 29 n.k...
Nataman hao Dubula wa wachinje hadharani na kuwabanika moto...ili iwe fundisho kwa wengine wanaokimbia Tz af wanaenda kuwa wapumbavu nchi za watu...

Mimtu inapotea nchi za watu ikirudi bado ni mizigo kwa familia zao...
Wengi wanaokimbilia SA ni wahalifu hapa TZ. Enzi za Magufuli vijana wengi wa uswazi walikimbilia SA kwa sababu patrol ikipita kitaa haipiti wiki jela umeenda. Vibaka wengi wa Kigogo, Mburahati na Manzese walikimbia.
 
Kuna nini cha kuzuia Dudula kwenda Centurion?.
last month walikuwa Tswane hospital na Steve biko hospital(Pretoria)foreigners walizuiwa bila ID ya South hupati huduma ya Afya. otherwise uende hospital binafsi.
Hao jamaa pia wanatumika na watumishi wa Serikali na Serikali kama ngao yao ya kushindwa kutatua matatizo yanayowazunguka Wasouth walianza ajira,wakaja kwenye asset wakaja kwenye magari yenye namba za SA wafanye kazi wao hata kama gari ni la mgeni sasa hivi wapo kwenye afya kitu ambacho watakiacha tu hapo baadae inshort SA tatizo la ajira hawajui kuwa wao wenyewe ndio chanzo na si matibabu au ujinga ujinga mwingine wote wanatibiwa bure wao hawataki foleni eti kwa nini wapange foleni na mgeni si upuuzi huo nimesema hao wahuni tu kwanza wakiacha ubaguzi wa wageni wanabaguana sana wenyewe huyu mvenda sio mzawa yule Mkhoxa na yule Msutu na mzulu wapuuzi tu..
 
Kwa hali ya Sasa Africa kila mtu arudi ajenge kwao, hata Tanzania imepitisha sheria ya kuzuia wageni wakiwemo majirani kujihusisha kwenye biashara ndogo ndogo, hiyo ina maana misako ya mlango kwa mlango kufurusha hao wajasiria mali na kufunga maduka yao.

Kila mtu arudi kwao, hata Watanzania wote walio kwenye maitaifa jirani ikiwemo Msumbiji, Kenya, Malawi, Zambia, Uganda, Burundi, Rwanda, DRC, n.k. warudi kwao waijenge Tanzania
 
Kuna nini cha kuzuia Dudula kwenda Centurion?.
last month walikuwa Tswane hospital na Steve biko hospital(Pretoria)foreigners walizuiwa bila ID ya South hupati huduma ya Afya. otherwise uende hospital binafsi.
Hii kitu ni serious kumbe
 
Hao jamaa pia wanatumika na watumishi wa Serikali na Serikali kama ngao yao ya kushindwa kutatua matatizo yanayowazunguka Wasouth walianza ajira,wakaja kwenye asset wakaja kwenye magari yenye namba za SA wafanye kazi wao hata kama gari ni la mgeni sasa hivi wapo kwenye afya kitu ambacho watakiacha tu hapo baadae inshort SA tatizo la ajira hawajui kuwa wao wenyewe ndio chanzo na si matibabu au ujinga ujinga mwingine wote wanatibiwa bure wao hawataki foleni eti kwa nini wapange foleni na mgeni si upuuzi huo nimesema hao wahuni tu kwanza wakiacha ubaguzi wa wageni wanabaguana sana wenyewe huyu mvenda sio mzawa yule Mkhoxa na yule Msutu na mzulu wapuuzi tu..
sahihi kabisa.
 
sahihi kabisa.
Waziri wao wa Polisi ana kashfa ya kuunda makundi ya kijambazi na mengine kama hayo Bunge lao limekaa juzi kuteua watu 11 kwenye Tume itakayochunguza hizo tuhuma baada ya mkuu wa Polisi wa KwaZulu-Natal kutoa hizo tuhuma karibu mwezi umepita na hizi mambo zote zinaanzia huko kwake Natal na kuenea maeneo mengi trip hii imekua haina nguvu kwa sababu mhusika mkuu ndio kasimamishwa kupisha uchunguzi wanabaki kuhangaika na hospital na vitu vingine tupo hapa tunajua mambo zao za hovyo hovyo nyingi sana polisi wanaacha kukimbizana na ujambazi wapo busy na wageni kila kukicha kana kwamba wao hawapo Nchi zingine.
 
Itabidi na sisi tu-adopt hii operesheni DUDULA huku kwetu tuwafurushe wazenji wote haiwezekani mtanganyika aishi kama mwizi zenji ilhali mzenji anaishi kibosi uraisi/uongozi wa juu anapata na ardhi anamiliki Tanganyika.

DUDULA FOR TZ.
 
Wanasema wageni ndiyo wanaongoza kwa ujambazi
 
Itabidi na sisi tu-adopt hii operesheni DUDULA huku kwetu tuwafurushe wazenji wote haiwezekani mtanganyika aishi kama mwizi zenji ilhali mzenji anaishi kibosi uraisi/uongozi wa juu anapata na ardhi anamiliki Tanganyika.

DUDULA FOR TZ.
Ni uvivu tu wa kuwaza. Mapori yamejaa Tanzania hayana mtu wa kulima, ukahangaike na maduka ya wapemba?? Wewe unaweza kusimamia duka kama mpemba?
 
Mpemba anaweza biashara kuliko mchaga wa tanganyika?
 
Back
Top Bottom