Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,453
- 111,795
Mambo hayajakaa sawa vipi kwani Dar wewe umefika sehemu zote?Fafanua kidogo hapa. Ni kama kuna mambo hayajakaa sawa.
Mambo hayajakaa sawa vipi kwani Dar wewe umefika sehemu zote?Fafanua kidogo hapa. Ni kama kuna mambo hayajakaa sawa.
Hiyo wala siyo sababu yao kuu, humo wameamuwa kukaba tu.Mkuu ni nchi yao, kutofanya kazi sio kigezo cha wewe kuvamia nchi yao kupata huduma zote za kijamii kama mzawa.
Mambo hayajakaa sawa vipi kwani Dar wewe umefika sehemu zote?
Tanganyika ikianzisha Operation Dudula itaathiri sana Wazanzibari.View attachment 3426358 Historia:
Operesheni Dudula ni harakati iliyoanza kama kikundi cha kijamii kilichoanzishwa Soweto, Johannesburg na kisha kujigeuza kuwa. Jina "Dudula" linamaanisha "kusukuma nje" au "kugonga chini" kwa lugha ya Kizulu, likirejelea lengo la kikundi hicho la kuwafukuza wahamiaji wasio na hati za kisheria, nje ya Afrika Kusini. Harakati hii inajulikana kwa msimamo wake wa kupinga wahamiaji na imekosolewa sana kwa kuwa na chuki dhidi ya wageni (xenophobic),
View attachment 3426359
Malengo ya mwaka 2025/26:
Kwa mwaka 2025, wamepanga kuzuia watoto wa kigeni wasio na hati kuhudhuria shule za umma kuanzia Januari 2026, na wamekuwa wakilenga huduma za afya kwa kuwazuia wahamiaji kupata huduma. Mipango hii imezua mjadala mkali, huku wengi wakilaumu kikundi hicho kwa kukuza chuki na kukiuka haki za binadamu, wakati wengine wakisema kuwa wanashughulikia masuala ya rasilimali zinazopatikana kwa raia wa Afrika Kusini
Vitoto vya 2000 mnatukana Baba zenu humu bila kujuwa, anyway tuwasamehe bure mimba zenyewe tumewapa mama zenu kwa shida ya kupata pesa za marejesho.Mke wa mtoa mada unadandia hata hujui hoja inahusu nini. Ndo maana tunasema wanawake mkae jikoni tu. Mwachie jamaa mwenyewe atajibu. Wewe chukua kopo nenda kajitawaze. Mambo ya Ngoswe huwezi kujua.
Vitoto vya 2000 mnatukana Baba zenu humu bila kujuwa, anyway tuwasamehe bure mimba zenyewe tumewapa mama zenu kwa shida ya kupata pesa za marejesho.
Kirefu cha Soweto ni South and West township.
Soweto alone ni kubwa kuliko Dar, City of Johannesburg yenyewe ina CBD yake na ina Town zake kama Rose bank na Sandton hizo ni town zinajitegemea kwa kila kitu.
Hapo ukiingia kwenye GP = Gauteng Province ndio Unapata Johannesburg na Pretoria.
Orlando Soweto ndio makazi ya Wazulu first class silver spoon.
Watoto wadogo mnataka kupewa elimu ya bure halafu mmejaa matusi kwa watu msiowajuwa Fuseeeeki.
Haiwezi kuwaathiri, South Africa raia wa Botswana wana special desk, hawawi treated kama raia wa nchi nyingine.Tanganyika ikianzisha Operation Dudula itaathiri sana Wazanzibari.
Ukitaka kuchart na Isanga mfuate inbox, hapa ni open forum.Unapenda sana kukaa mbele za wanaume. Aliyeulizwa ni mwingine why unajipendekeza ? Wanawake mmekuwa wengi mpaka mnatafuta tu sehemu ya kujipachika mwonekane. Wewe siyo Isanga Family. Na mimi pia ni mume wa wanawake watatu sitaki ongeza wa nne kwa sasa. Tuliza masaburi hayo. Au katawaze ukapike.
Ukitaka kuchart na Isanga mfuate inbox, hapa ni open forum.
Ukiona mtu anatanga jinsia yake basi hapo kuna tatizo, mwanaume anajurikana bila kutafuta attention.
Huna akili kichwani.
Mimi ndio daktari wa vichaa, huwezi kuwemo kwenye orodha ya wanaume, una element zote za ushoga ndio maana kila sentesi unajiita mwanaume inferiolity complex.Swali lilihusu hoja yake yeye wewe unadandia na unatoka nje ya mstari. Huelewi unachoandika.
Unapenda sana kukaa mbele za wanaume. Aliyeulizwa ni mwingine why unajipendekeza ? Wanawake mmekuwa wengi mpaka mnatafuta tu sehemu ya kujipachika mwonekane. Wewe siyo Isanga Family. Na mimi pia ni mume wa wanawake watatu sitaki ongeza wa nne kwa sasa. Tuliza masaburi hayo. Au katawaze ukapike.
Unapenda sana kukaa mbele za wanaume. Aliyeulizwa ni mwingine why unajipendekeza ? Wanawake mmekuwa wengi mpaka mnatafuta tu sehemu ya kujipachika mwonekane. Wewe siyo Isanga Family. Na mimi pia ni mume wa wanawake watatu sitaki ongeza wa nne kwa sasa. Tuliza masaburi hayo. Au katawaze ukapike.Mimi ndio daktari wa vichaa, huwezi kuwemo kwenye orodha ya wanaume, una element zote za ushoga ndio maana kila sentesi unajiita mwanaume inferiolity complex.
Xenophobic attacks zinapotokea the only escape route ni fluency ya local languages kama hawakufahamu kwa kina background yako. Mfano unakuta Wavambo wamepewa special privileges za kazi katika fishing companies and mind you those are Namibians lakini kikinuka lazima waingie chimbo kwanza. Wa-Eswatini, wa-Sotho na wa-Tswana wa kutoka Botswana pamoja na wa-Venda na wa-Ndebele wa Zimbabwe wana advantage kwa kuwa makabila yao yako pia SA hivyo wakishajichanganya watu wa makabila yao wa upande wa SA wanawaona ni ndugu zao kwa kuwa same tribe.Haiwezi kuwaathiri, South Africa raia wa Botswana wana special desk, hawawi treated kama raia wa nchi nyingine.
Inshort raia wa Botswana, Namibia, Lesotho na Swaziland hawa wana special treatment na wana maingiliano ya kihistoria na South Africa ni jamii moja na tamaduni zinazofana.
Kwahiyo hapa point hata tukivunja muungano bado kutakuwa na MoU kati yetu, tusisahau hata Watanganyika wapo Zanzibar na wana maslahi yao Zanzibar kuliko Tanganyika.
Hivi yule anayesemaga ashante shana yuko bongo au sauziKwa wale vijana wetu wanaojipa minamba mara sijui 26,sijui 29 n.k...
Nataman hao Dubula wa wachinje hadharani na kuwabanika moto...ili iwe fundisho kwa wengine wanaokimbia Tz af wanaenda kuwa wapumbavu nchi za watu...
Mimtu inapotea nchi za watu ikirudi bado ni mizigo kwa familia zao...
Hapana mkuu GLE 63s Coupe AMG ni toleo mojawapo ya Gari kampuni ya benzi.Naona kabisa umeongea Kwa code