Kwani wanapata wapi nguvu ya kuzuia mtu asipate matibabu? Au nayo Serikali ya SA imebariki??Dudula hailengi Wageni wasio na Vibali vya kuishi ndani ya South Africa,inalenga mgeni yoyote particularly mweusi awe na Vibali ama hana.
Kwasasa (wageni) huruhusiwi ku access hospital za Umma kama huna ID ya South Africa.
Asante kwa hoja hii, nitajitahidi kuiandikia thread independentNina rafiki zangu Kaburu hapo SA, wengi wanafikiria kuikimbia hiyo nchi na sababu kuu ni uhalifu, rushwa na mambo ya ajabu ajabu yaliyokithiri.
Wengi wanaunga mkono sana ile sera ya Trump kuingia USA maana wapo wengi wenye mitaji na big business ambazo wanaweza kuwekeza popote pale duniani.
Tanzania kama Ina viongozi wenye maono, ni wakati wakuchangamkia fursa kwakuribisha mitaji ya hawa jamaa, wengi wako strong financially and mentally stable.
ndani ya mitaa ya Kabul- Afghanistan.
wameji-mobilize makundi kwa makundi na kwenda kuweka kambi kwenye hospital za Umma uku wakikagua ID ya yoyote anayetaka kuingia kupata huduma.Kwani wanapata wapi nguvu ya kuzuia mtu asipate matibabu? Au nayo Serikali ya SA imebariki??
Hospital gani ya umma wao wanaweza kukagua ID mkuu yapo maeneo wao wanaweza kufanya uhalifu ila sio maeneo yote yapo maeneo watu wapo SA nao wanasikia tu kama vile waliopo Tanzania mfano watu wanaoishi maeneo kama Centurion na maeneo mengi ya Mzungu mtu mweusi anamuogopa kama Ukoma hakuna kitu anaweza kwenda kufanya.wameji-mobilize makundi kwa makundi na kwenda kuweka kambi kwenye hospital za Umma uku wakikagua ID ya yoyote anayetaka kuingia kupata huduma.
Acha ukatili wewe psychoKwa wale vijana wetu wanaojipa minamba mara sijui 26,sijui 29 n.k...
Nataman hao Dubula wa wachinje hadharani na kuwabanika moto...ili iwe fundisho kwa wengine wanaokimbia Tz af wanaenda kuwa wapumbavu nchi za watu...
Mimtu inapotea nchi za watu ikirudi bado ni mizigo kwa familia zao...
Sio kwa wale wajinga aisee yaan hata muonekano wao tu ni wezi tosha...kule sio kumtafuta maisha..kule ni ili mradi watu wajue uko nje ya nchi...Acha ukatili wewe psycho