Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

Mpemba anaweza biashara kuliko mchaga wa tanganyika?
Kwani ulikwishasikia Mchagga analalamika? Mchagga mtu kazi na kambi popote. Haya malalamikonya wamatumbi tu wavivu wavivu
 
Mpemba anaweza biashara kuliko mchaga wa tanganyika?
Mimi hao wote nimefanya nao biashara, wapemba hatari sana katika biashara. Wale jamaa wanajua kurun biashara, wapo vizuri ktk negotiation, reception na ni very humble.

Wachagga wana spirit ya kupambana wawe na biashara ila tamaa za pesa na majivuno kuna muda vinawatoa ktk mstari.

Wapemba, Wahindi wako smart sana hawa watu katika biashara.
 
Wanasema wageni ndiyo wanaongoza kwa ujambazi
Soweto wanakaa Wazulu watupu kunakalika huko mkuu unaweza kuishi SA miaka karibu kumi na usifike huko au nenda Alexander,Mamelodi na Tembisa maeneo yao wazawa huko ukipita na gari usiku na umeme ukikatika lazima utaliacha..
 
Mara kibao weekend.
Mara ya mwisho nilienda nikaishia Main Street Life nikapiga cappuccino nikajisahau sikufika.
Nawe je, huwa unapiga corner gani Jozi?
Ghandi square
Reef Hotel pale
Harrison Street and Underson stress
Sometimes Kwa Mai Mai Kula nyama
 
Weusi si vurugu kwa weusi wenzao, anaweza kwenda kwa mtaa wa mweupe kufanya uwo ujinga. Anaaanzia wapi kwanza
 
Mungu wangu. Aisee wasije wakafanya wale wanajiojiita mabaharia wakarudi Tz maan watakuja kutusumbua mitaani mwetu humu. Wabaki hukohuko na dudula ifeli kabsa
 
Soweto wanakaa Wazulu watupu kunakalika huko mkuu unaweza kuishi SA miaka karibu kumi na usifike huko au nenda Alexander,Mamelodi na Tembisa maeneo yao wazawa huko ukipita na gari usiku na umeme ukikatika lazima utaliacha..

Fafanua kidogo hapa. Ni kama kuna mambo hayajakaa sawa.
 
Walete, tutafanya guidence and consultation ili waweze kuinvest na kuishi kwa amani Tanzania
 
Kwani wanapata wapi nguvu ya kuzuia mtu asipate matibabu? Au nayo Serikali ya SA imebariki??
Wasouth Africa wana uhuru na nchi yao wametawaliwa kwa miaka mingi, sasa wana free South Africa.

Subiri siku na nyinyi mtakapopata uhuru kutoka kwa Ccm utaona mziki wake ni kama unavyoona Kenya wapo Uhuru.

Watanzania bado ni mateka wa Ccm.

I support Dudula ingawa wana mapungufu ya kiubaguzi.

Makwelekwele siyo Waafrika wenzao tu hata Wapakistan, Wamoroco na weupe wengine ni makwelekwele pia bila kujari rangi zao, shida ya Dudula inawamind weusi wenzao tu kutoka nje.

Ukweli lazima usemwe nchi imeharibiwa na wageni, tuliofika mapema nchi hiyo tangu Rais akiwa De clerck utakubaliana na mimi wageni ndio wameharibu nchi kwa madawa ya kulevya, Ujambazi na sasa wanaleta ujinga huu ambao hata Chalamila wa Dar hataki wa kila sehemu kufanya umachinga holela.

Hata Uingereza wameshtuka nchi yao kuharibiwa na tamaduni za kihindi mitaa ya London imejaa harufu ya spice za Kihindi sasa wanairudisha Britain inavyotakiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…