Operesheni Dudula huko Afrika Kusini, Watanzania kaeni kwa tahadhari

Mkuu ni nchi yao, kutofanya kazi sio kigezo cha wewe kuvamia nchi yao kupata huduma zote za kijamii kama mzawa.
Hiyo wala siyo sababu yao kuu, humo wameamuwa kukaba tu.

Subili Wachina watakapokaba kona zote utasikia vita ya kuwafukuza Wachina Tanzania, sasa wameshaingia kwenye udalali, madalali wameanza kulia.
 
Mambo hayajakaa sawa vipi kwani Dar wewe umefika sehemu zote?

Mke wa mtoa mada unadandia hata hujui hoja inahusu nini. Ndo maana tunasema wanawake mkae jikoni tu. Mwachie jamaa mwenyewe atajibu. Wewe chukua kopo nenda kajitawaze. Mambo ya Ngoswe huwezi kujua.
 
Tanganyika ikianzisha Operation Dudula itaathiri sana Wazanzibari.
 
Mke wa mtoa mada unadandia hata hujui hoja inahusu nini. Ndo maana tunasema wanawake mkae jikoni tu. Mwachie jamaa mwenyewe atajibu. Wewe chukua kopo nenda kajitawaze. Mambo ya Ngoswe huwezi kujua.
Vitoto vya 2000 mnatukana Baba zenu humu bila kujuwa, anyway tuwasamehe bure mimba zenyewe tumewapa mama zenu kwa shida ya kupata pesa za marejesho.

Kirefu cha Soweto ni South and West township.

Soweto alone ni kubwa kuliko Dar, City of Johannesburg yenyewe ina CBD yake na ina Town zake kama Rose bank na Sandton hizo ni town zinajitegemea kwa kila kitu.

Hapo ukiingia kwenye GP = Gauteng Province ndio Unapata Johannesburg na Pretoria.

Orlando Soweto ndio makazi ya Wazulu first class silver spoon.

Watoto wadogo mnataka kupewa elimu ya bure halafu mmejaa matusi kwa watu msiowajuwa Fuseeeeki.
 
Unapenda sana kukaa mbele za wanaume. Aliyeulizwa ni mwingine why unajipendekeza ? Wanawake mmekuwa wengi mpaka mnatafuta tu sehemu ya kujipachika mwonekane. Wewe siyo Isanga Family. Na mimi pia ni mume wa wanawake watatu sitaki ongeza wa nne kwa sasa. Tuliza masaburi hayo. Au katawaze ukapike.
 
Tanganyika ikianzisha Operation Dudula itaathiri sana Wazanzibari.
Haiwezi kuwaathiri, South Africa raia wa Botswana wana special desk, hawawi treated kama raia wa nchi nyingine.

Inshort raia wa Botswana, Namibia, Lesotho na Swaziland hawa wana special treatment na wana maingiliano ya kihistoria na South Africa ni jamii moja na tamaduni zinazofana.

Kwahiyo hapa point hata tukivunja muungano bado kutakuwa na MoU kati yetu, tusisahau hata Watanganyika wapo Zanzibar na wana maslahi yao Zanzibar kuliko Tanganyika.
 
Ukitaka kuchart na Isanga mfuate inbox, hapa ni open forum.

Ukiona mtu anatangaza jinsia yake basi hapo kuna tatizo, mwanaume anajurikana bila kutafuta attention.

Huna akili kichwani.
 
Ukitaka kuchart na Isanga mfuate inbox, hapa ni open forum.

Ukiona mtu anatanga jinsia yake basi hapo kuna tatizo, mwanaume anajurikana bila kutafuta attention.

Huna akili kichwani.

Swali lilihusu hoja yake yeye wewe unadandia na unatoka nje ya mstari. Huelewi unachoandika.

Unapenda sana kukaa mbele za wanaume. Aliyeulizwa ni mwingine why unajipendekeza ? Wanawake mmekuwa wengi mpaka mnatafuta tu sehemu ya kujipachika mwonekane. Wewe siyo Isanga Family. Na mimi pia ni mume wa wanawake watatu sitaki ongeza wa nne kwa sasa. Tuliza masaburi hayo. Au katawaze ukapike.
 
Mimi ndio daktari wa vichaa, huwezi kuwemo kwenye orodha ya wanaume, una element zote za ushoga ndio maana kila sentesi unajiita mwanaume inferiolity complex.
 
Xenophobic attacks zinapotokea the only escape route ni fluency ya local languages kama hawakufahamu kwa kina background yako. Mfano unakuta Wavambo wamepewa special privileges za kazi katika fishing companies and mind you those are Namibians lakini kikinuka lazima waingie chimbo kwanza. Wa-Eswatini, wa-Sotho na wa-Tswana wa kutoka Botswana pamoja na wa-Venda na wa-Ndebele wa Zimbabwe wana advantage kwa kuwa makabila yao yako pia SA hivyo wakishajichanganya watu wa makabila yao wa upande wa SA wanawaona ni ndugu zao kwa kuwa same tribe.
Those are the realities on the ground.
Wageni wote Tanganyika watapaswa kuwa treated equally, bila kujali ni Mchina, Mzanzibari au Mjamaika.
 
Hivi yule anayesemaga ashante shana yuko bongo au sauzi
 
South Africa wapewe wazungu tu waiendeshe ngozi nyeusi nchi imeshawashinda.
 
Walete, tutafanya guidence and consultation ili waweze kuinvest na kuishi kwa amani Tanzania
Kwa yaliyampata Hermanus Steyn wakati wa Magufuli, yule aliyeshika ndege za ATCL Joburg, yaweza kuwa ngumu
 
🗞️ HABARI MPYA: Mahakama Kuu ya Gauteng iliyopo Johannesburg imeizuia Operation Dudula kufanya vitendo mbalimbali dhidi ya raia wa kigeni, ikiwemo kuingilia upatikanaji wa huduma za afya, pamoja na vitisho, unyanyasaji na mashambulizi.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…