Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

... you are welcome MMM. Hopefully utatuambia mapya ambayo hatujayasikia kutoka kwa swahiba wako Slaa & co.
 


Watu wenye uwezo wa kuuliza haya Tanzania ni very very few.....

cha ajabu sasa wote wanaochangia humu Mwanakijiji atawajibu
but wewe uliemuuliza maswali fikirishi atajifanya hajakuona kabisa..wengine ata replry so fast
 
Watu wenye uwezo wa kuuliza haya Tanzania ni very very few.....

cha ajabu sasa wote wanaochangia humu Mwanakijiji atawajibu
but wewe uliemuuliza maswali fikirishi atajifanya hajakuona kabisa..wengine ata replry so fast

Mimi sielewi kabisa!

Mtu ambaye atashindwa 'clean and clear' anaanzishiwa 'operesheni zinduka'!

Yote hayo ya nini wakati mtu atashindwa 'clean and clear'?

Manake hoja ni kwamba Lowassa atashindwa, na si kushindwa tu, ni atashindwa vibaya na kihalali kabisa.

Sasa haya mambo ya operesheni za kuzinduka yanahitajika kweli? Nguvu na juhudi zote hizi za nini kwa mtu/ mgombea ambaye ni nonstarter?

Au wanataka asipate hata kura moja [yaani hata yeye mwenyewe asijipigie]?

Hii operesheni kwangu haiingii akilini hata kidogo.
 

Ameshakuwa mwana propaganda. His hatrage for lowassa imeshinda kila kitu, hii ni kama hatumiwi.
Nina mashaka yupo nyuma ya 'familia ya gwajima' kuhusu kumfufua baba yao. Sijui snafikiri ni watz wangapi wanaotaka mabadiliko wanaamini juu ya gwajima kufufua watu? Labda Slaa na mkewe ndio aliamini.
 


Ameen!

Kuna mambo mengi natofautiana na Mwanakijiji, lakini katika hili, nakubaliana nae moja kwa moja. Ni hvibaya kuona ndugu zetu walikuwa brain washed in the name of mabadiliko, bila kujali mabadiliko wanayoahidiwa na hasi au chanya.
 

NN, ngosha na wewe unanichekesha bana; sasa hata propaganda tena hujui? unafikiri wanaosema "Lowassa atashinda asubuhi" unafikiri wanaamini kweli hivyo? ingekuwa hivyo si ungeona hata hawasumbuki na mtu kama mimi? suala la kuisaidia CCM ishinde nitalijibu kwa sababu inaendana kabisa na watu kumchukua Lowassa ni kuisaidia CHADEMA ishinde au Lowassa ashinde?
 
Watu wenye uwezo wa kuuliza haya Tanzania ni very very few.....

cha ajabu sasa wote wanaochangia humu Mwanakijiji atawajibu
but wewe uliemuuliza maswali fikirishi atajifanya hajakuona kabisa..wengine ata replry so fast

umesema maswali 'fikirishi'. Mtu kama NN tumetoka mbali sana kiasi kwamba anaponiuliza swali napaswa kumjibu vizuri kabisa kwa hoja. So usiwe na shaka mtu anayeuliza kwa hoja nitamjibu tu kama siyo hapa moja kwa moja basi kwenye mojawapo ya episodes... hii ni ya kwanza tu bado kuna mengi sana ya kuchangia. Worry not - hoja hujibiwa kwa hoja tu.
 

You Have Done Nothing, Tutakuchinja Wewe Na Wenzako Tarehe 25 Oct Kweupe,
Peopleeeeee's?
Poweeeeeeeeer
Lowassa?
Mabadilikooooo
Mabadiliko?
Lowassaaaaaaa
Tunzeni Vichinjio Vyenu.
 
Tatizo lako Mwanakijiji unajiona una akili kutushinda siye tulioko hapa bongo. Unajidanganya broo.

Tuache tuchague tunavyopenda, usijaribu kabisa kumzaa Ishmaili.

It is the wearer who knows where the shoe pinches. We know well that CCM has broken us, hutafaulu kuwapigia kampeni.

Wewe tafuna hivyo vijihela ulivyopewa na utuache tuamue wenyewe. Usitushawishi Mwanakijiji.
 

Ahahahaaa daaah!

Nadhani nilipatwa na 'brain fart' nikashindwa hata kufikiri vizuri.

Lakini kwa upande mwingine ni vizuri zaidi kuuliza na kupata jibu kuliko kusadiki.

Sasa nimekuelewa vyema kabisa, Operesheni Zinduka nayo inaingia akilini [hata kama sikubaliani nayo] na kuanzia sasa nitakuwa nazisubiri tu hizo episodes.
 

a very good question! ngoja nicheki kalijibu vipi hili...
 

Hakuna mtendaji yeyote wa serikali aliyewahi kuwa makini kiasi hicho. Wizi wa kura kwa kutumia michakato ya ki IT unahutaji uzoefu, umakini na efficiency ya hali ya juu. I am 100% sure kuwa grave miscommunications zitatokea kati ya uongozi wa juu wa tume, makamishna, na wasimamizi majimboni. Ukijumlisha na pressure ya umma watanzania na mataifa mbalimbali, watachanganyikiwa mapema sana...

Kuiba wataiba, lakini utakuwa wizi wa mchana, yaani kila detail ya wizi itakuwa wazi.
 
 
Mwanakijiji hili swala umeliongelea kwa nafsi yako wewe ili uweze kuwashawishi na watu wengine hapa jf
Lakini watu wenyewe ndio hao wanakubishia
Inamaana kwa kupitia hilo inaonyesha kwamba ni jinsi gani wazo lako limefeli kwa 99%
Hilo swala achana nalo utapoteza muda na watu hawezi kuacha kumpenda lowasa na wasimpe kura kisa mwanakijiji kasema. Hilo swala ni gumu sana mwanakijiji tafuta wazo lingine la maana watu watakuelewa.
 
Huwezi kuwaza kama sisi kwa sababu tunayoyapitia kila siku huyajui....
Ingependeza sana ukifanya operesheni kwenye vichwa vya wamarekani wenzio ili watende yanayostahili...!!

Mtu unakesha kwenye internet kuandika upuuzi wako kwa lengo tu la kupotosha ukweli wa matukio...
Wengi wamechoka na suluhisho wanaona lipo kwa kuiondoa ccm.... Haijalishi inaondoka kwa stahili gani...!!!
Mzee kama unazeeka vibaya utuambie.... Hatuwezti tena kuipa ccm miaka mingine 5-10 ikiwa yenyewe imejitenga na waTanzania...!!
Umeishi maisha na ktumia pumzi yako nyingi kupambana kulaghai kuiondoa ccm...leo inakaribia kuondoka ndo unaibuka katika ubora wako kwa rangi zako zote... STAY AWAY FROM US or LEAVE US ALONE.... Shame on you..!! If you are not on our side; you are just like them - you are our enemy..!!

Wapeni waTanzania nchi yao wakiwa bado wapole na wenye shauku ya kuipata kupitia sanduku la kura.... Fanyeni hivyo haraka kwa kusoma alama za nyakati.!
 
Program Note:
Operesheni Zinduka - Episode 2 "Makosa 2 ya Dr. Slaa na 1 la Mbowe - Jumatano Oktoba 7, 2015) Stay tuned

Acha kutuyeyusha, hebu tuambie unatumia masaa ya wapi (Marekani - East, Mid au West) ama ya Tanzania?

Nipo Ukanda wa Pasifiki huku hivyo toka jana nasubiri Episode 2 uliyosema unaitoa leo ila sasa inaonekana unaitoa kesho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…