Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi,

Declaration of Interest
Hakuna binadamu ambaye ni mkamilifu, kufuatia hali fulani fulani, mtu ambaye ni mzima kabisa huweza kughafilika. Mimi mwenyewe hapa ni mzima kabisa, lakini kwenye my love for rough riding the big bikes, nilikuwa a rough rider na kughafilika kwenda mwendo kasi!. Kuna kughafilika kwa aina nyingi, kuzijua tembelea nyuzi hizi.
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna ...
hii maana yake hata wachangiaji wa uzi huu, kila wanne kati yetu, mmoja ana hali Fulani hivi na mtawajua tuu kwa michango yao.
Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa ...
Ma Genius Wengi ni Huishia Kwenye Kughafilika!.
Watu wengi wenye akili sana, yaani ma genius, huwaga kama wana kughafilika fulani kutokana na kuzidiwa na akili. Sir Isaack Newton katika experiment ya kupima yai linachukua muda gani kuchemka, aliweka saa kwenye sufuria na kulishika yai mkononi!. Archimedes alipogudua law of floatation, alitoka mbio bafuni akiwa uchi na kuingia mtaani huku akiimba eureka eureka!. Kwa mnaomjua Prof. Shaba, the pathologist. Nikiwa Olevel Tambaza, kipanga watu aliitwa Nia Sudi (RIP), alitoka na point 7!, aka join Kibaha, hakumaliza!. Hivyo Dr. Shika, anaweza kuwa kundi hili!.

Umaarufu wa Ghafla wa Dr. Luis Shika
Tangu Dr. Luis Shika alipojitokeza kununua mahekalu ya Lugumi, na kilichofuatia, kimemfanya kugeuka kuwa a top celebrity all over a sudden, kwa kuwa target ya waandishi na media, hadi kuingilia uhuru wake binafsi, his right to privacy kwa kumfanya is subject to ridicule na kumfanyia over exposure ya maisha yake.

Jee Dr. Shika ni Mtu wa Kawaida?.
Haihitaji rocket science or kusomea saikolojia kubaini kuwa mtu huyu ni mtu mwenye hali fulani, kuanzia wapiga mnada, hadi jeshi letu la polisi, nalo linajumlisha some form of watu wenye hali Fulani, hadi kushindwa kubaini hali fulani ya Dr. Shika, just by naked eyes, hadi kumshikilia kwa muda wa siku zote hizo 7, ambako ni kumtesa tuu bure masikini wa watu, wakati kumhoji kwa masaa mawili tuu kungetosha ku establish his state of mind!.

Ukimsikiliza, anaongea vitu very straight, but some doesn't make sense, kutokana na mateso makubwa aliyopitia, ikiwemo kupigwa electric shock, vimeathiri ubongo wake, kuanzia watu wa mnada, polisi na waandishi wa habari, hawamtendei haki Dr. Shika na kumfuatilia na kumhoji mara kwa mara, hadi kuingilia uhuru wa faragha yake.

Fedha za Kulipia Nyumba za Lugumi
Mfano akizungumzia fedha za kulipia nyumba za Lugumi, ameonyesha kumiliki kampuni nchini Urusi, na kusema ana account London yenye US $ Zaidi ya milioni 10, ambazo ni Zaidi ya bilioni 200 kwa fedha za Tanzania, anasubiri kutumiwa fedha kulipia nyumba za Lugumi, ila anatakiwa alipie bima ya dola 150 tuu atumiwe fedha zake. Kwenye money transfer zote, kama kuna malipo yoyote, hukatwa direct kutoka kiasi unachohamisha, hivyo kiasi kinachofika kinakuwa ni less. Haiwezekani benki yenye mabilioni yako, kukuomba utume fedha za bima ndipo utumiwe fedha zako!.

Too Much Over Exposure Hadi Kuingilia His Right to Privacy
Waandishi makini, na responsible media, wanaweza kufanya mahojiano kwa kuuliza lolote for info, lakini hawapaswi kuchapisha kila wanachosikia, mfano kuna waandishi, wamefika nyumbani kwake anapoishi, bila ruhusa yake, wakapiga picha chumba chake na kuzichapisha bila idhini yake, kwa kukielezea kilivyo in a way ambayo ni morbid curiosity!, which is very unprofessional journalism.

Mtu Mwenye Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Ulinzi, Protection
Ukiishamjua mtu ana hali Fulani hivi, mtu huyo anahitaji msaada, kusaidiwa, protection, kulindwa, usaidizi, heshima, huruma, upendo, na kutoingiliwa faragha zinazotokana na hali yake, sisi media zetu ndio kwanza ziko busy na over exposure!.

Yono Auction Mart nao Sio Wazima!. Walipaswa Kubaini Hili Tangu Mapema.
Ukisikiliza zile video za mnada, his bidding style, leaves much to be desired, kwa any serious auctioneers alipaswa hili kuwa ameliona mapema na kulibaini sio kuendelea tuu na mnada, as if una deal na mtu wa kawaida, na baada ya kushinda mnada wa nyumba ya kwanza tuu kukamilika, they should have known better, lakini wao hawakufanya due diligent, wakaenda nyumba ya pili hadi ya tatu bila kushtuka!, these Yonos, must be crazy as well or they seriously needs their heads be examined!.

Jeshi Letu la Polisi, Nalo Pia Haliwezi Kukwepa Lawama!
Mahojiano ya just 1 hour, yanaweza kuwawezesha polisi makini kujua wana deal na mtu wa namna gani, watu wa aina hii ni watu wanaohita kusaidiwa kwa kuwa handeled with care na kuwa handed over kwa ustawi wa jamii, na sio kumshikilia mtu wa aina hii kwenye mahabusu ya polisi for all those days!.

Hitimisho.
Watanzania lets be responsible society, kwa kuwasaidia watu wanaostahili kupata msaada toka kwenye jamii, badala ya kuwadhihaki, kuwakejeli na kuwabeza watu wenye matatizo ya hali fulani, naunga mkono matumizi yoyote ya Dr Shika kwa nia ya kumsaidia kumpatia kipato ili kurekebisha maisha yake na hiyo hali ikatengamaa, media hatumtendei haki Dr. Shika, nawaomba tumtendee haki mtu huyu. anahitaji msaada wa jamii.

Paskali

Rejea.
Dr. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi!! | JamiiForums | The Home ...
Nani zaidi kati ya Dr.Shika vs Dr.Magu | JamiiForums | The Home of ...
Akili ya Dr. Shika sio ya nchi hii, hivi unajua majina yake halisi ...
Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika ...
Nini kifanyike tukio kama la Dr.Lui Shika lisitokee tena ...
Kampuni y dr shika Urusi hii hapa | JamiiForums | The Home of ...
Full details, kampuni ya Dr. Shika ya Moscow, Urusi - Lancefort ...
suala la Mrusi, Dr. Shika wa Lugumi ni planted..haliishi kesho ...
Amini usiamini Dr. Shika atalipa pesa ile | JamiiForums | The Home ...
Kuna hoja za kumshitaki Dr. Louis Shika? | JamiiForums | The Home ...
Mimi sio Dr ila hii ni proof kwamba Dr Shika ni mgonjwa wa akili ...
Uwekwe utaratibu tumchangie Dr Shika. | JamiiForums | The Home of ...
dr.shika anaishi nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of ...
Uhuru wa maisha binafsi kwa Dr Shika | JamiiForums | The Home of ...
Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua nyumba za Lugumi, atoa ...
Dr luis Shika: Aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi ...
Dr Louis Shika kimantiki na kisheria hana kosa | JamiiForums | The ...
Mapya yaibuka,Dr.Luis Shika anadaiwa malimbilizo ya kodi ...
 
...
Fedha za Kulipia Nyumba za Lugumi
Mfano akizungumzia fedha za kulipia nyumba za Lugumi, ameonyesha kumiliki kampuni nchini Urusi, na kusema ana account London yenye pauni Zaidi ya milioni 10, ambazo ni Zaidi ya bilioni 300 kwa fedha za Tanzania, anasubiri kutumiwa fedha kulipia nyumba za Lugumi, ila anatakiwa alipie bima ya dola 150 tuu atumiwe fedha zake. Kwenye money transfer zote, kama kuna malipo yoyote, hukatwa direct kutoka kiasi unachohamisha, hivyo kiasi kinachofika kinakuwa ni less. Haiwezekani benki yaenye mabilioni yako, kukuomba utume fedha za bima ndipo utumiwe fedha zako!.
...
...
Mkuu muda ni kitu kizuri sana, muda ni assets ambayo sio ya kubeza, hebu tumpe muda na hili bandiko likiwepo tutajua, tuombeane uzima ili tuje tena tukumbushane mrejesho. Btw ngoja tuone leo britanicca ana lipi jipya

Pili Mkuu Pascal Mayalla naomba urekebishe hapo kwenye hizo amount. Pauni 10Mil ni around Tshs 30Bil only
 
Dr. anavyoonekana si wa kawaida...Kuna siku watu watakuja kustaajabu sana Na watatafuta pa kuziweka sura zao.Pamoja Na dhoruba zote ali/anazopitia ila me Bado naamini yule mzee sio kama tunavyomuona....usidaharau kiumbe yeyote anayeitwa binadamu..utaumbuka.
 
Dr amesha athirika anahotaji phycologist wa kumsaidia

Past yake inamtafuna

Haihitaji PhD kugundua hilo
 
Wanabodi,

Tangu Dr. Lus Shika alipojitokeza kununua mahekalu ya Lugumi, na kilichofuatia, kimemfanya kugeuka kuwa a top celebrity all over a sudden, kwa kuwa target ya waandishi na media, hadi kuingilia his right to privacy kwa kumfanya is subject to ridicule na kumfanyia over exposure ya maisha yake. Haya mambo, nimeishawahi kuyazungumza hapa
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna ...
na hapa
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa ...

Jee Dr. Shika ni Mtu wa Kawaida au Insane?.
Haihitaji rocket science or kusomea saikolojia kubaini kuwa huyu mtu sio mzima!, this is a mental case ya insanity, kuanzia wapiga mnada, hadi jeshi letu la polisi, nalo linajumlisha some form of insanity kushindwa kumbaini insane by naked eyes, hadi kumshikilia kwa siku zote hizo, ambazo ni kumtesa tuu bure masikini wa watu!.

Ukimsikiliza, anaongea vitu very straight, but some doesn't make sense, kutokana na mateso makubwa aliyopitia, ikiwemo kupigwa electric shock, vimeathiri ubongo wake, kuanzia watu wa mnada, polisi na waandishi wa habari, hawamtendei haki Dr. Shika na kumfuatilia na kumhoji mara kwa mara, hadi kuingilia uhuru wa faragha yake.

Fedha za Kulipia Nyumba za Lugumi
Mfano akizungumzia fedha za kulipia nyumba za Lugumi, ameonyesha kumiliki kampuni nchini Urusi, na kusema ana account London yenye pauni Zaidi ya milioni 10, ambazo ni Zaidi ya bilioni 300 kwa fedha za Tanzania, anasubiri kutumiwa fedha kulipia nyumba za Lugumi, ila anatakiwa alipie bima ya dola 150 tuu atumiwe fedha zake. Kwenye money transfer zote, kama kuna malipo yoyote, hukatwa direct kutoka kiasi unachohamisha, hivyo kiasi kinachofika kinakuwa ni less. Haiwezekani benki yaenye mabilioni yako, kukuomba utume fedha za bima ndipo utumiwe fedha zako!.

Too Much Over Exposure Hadi Kuingilia His Right to Privacy
Waandishi makini, na responsible media, wanaweza kufanya mahojiano kwa kuuliza lolote for info, lakini hawapaswi kuchapisha kila wanachosikia, mfano kuna waandishi, wamefika nyumbani kwake anapoishi, wakapiga picha chumba chake na kukielezea kilivyo in a way ambayo ni morbid curiosity!, which is very unprofessional journalism.

Insane Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Ulinzi, Protection
Ukiishamjua mtu ni insane, anahitaji msaada, kusaidiwa, protection, kulindwa, usaidizi, heshima, huruma, upendo, na kutoingiliwa faragha zinazotokana na insanity yake, sisi media zetu ndio kwanza ziko busy na exposure!.

Yono Auction Mart nao ni Insane!. Walipaswa Kubaini Hili Tangu Mapema.
Ukisikiliza zile video za mnada, his bidding style, leaves much to be desired, kwa any serious auctioneers alipaswa hili kuwa ameliona mapema na sio kuendelea tuu na mnada, baada ya mnada wa nyumba ya kwanza tuu kukamilika, they should have known better, lakini wakaenda nyumba ya pili hadi ya tatu bila kushtuka!, these Yonos, must be insane too, or they seriously needs their heads be examined!.

Jeshi Letu la Polisi, Nalo Pia Haliwezi Kukwepa Lawama!
Mahojiano ya just 1 hour, yanaweza kuwawezesha polisi makini kujua wana deal na mental case, watu wa aina hii ni watu wanaohita kusaidiwa kwa kuwa handed over kwa ustawi wa jamii, na sio kunshikilia mahabusu for all those days!.

Hitimisho.
Watanzania lets be responsible society, kwa kuwasaidia watu wanaostahili kupata msaada toka kwenye jamii, badala ya kuwadhihaki, kuwakejeli na kuwabeza watu wenye matatizo ya insanity, hatumtendei haki Dr. Shika, nawaomba tumtendee haki mtu huyu!.

Paskali
Nikweli Mungu ni Mwema Dr Shika Mungu amemshika mkono Nadhani anahitaji msaada kwa kupitia hizi Barozi zetu n.k kuwezesha kurudi kwenye hali yake ya kawaida kama alivyo jiieleza bado ni mgonjwa mbavu zake zina tatizo
 
Shida police wetu wanafanya kazi kwa maelekezo ya viongozi wa CCM, huyu mzee ni mgonjwa tena sn tu anatakiwa apelekwe hospitali haraka sana lakini sasahivi amegeuka kuwa toy ya nchi badala ya kuwahishwa hospitali, kimsingi hatuna waandishi wa habari mbali tuna SHILAWADU.
 
Mkuu yote yawezekana kuwa Dr. Shika ni insane au kinyume chake. Kuna issues kwenye maelezo yake zinaacha maswali mengi na hivi kuhitaji highest reasoning kubaini ukweli:

1. Bank Statements alizowapa police walipoenda kumpekea ni za lini na alizitoa wapi?

2. Ni kweli ni International law or prerequiste kukatia BIMA when transferring big cash?

3. Baada ya kurudi Tanzania mwaka 2005 akiwa ametokea kwenye mateso Rusia kwa Mara ya kwanza anadai aliondoka akaenda Spain. Huko Spain alikuwa anafanya nini akiwa katika hiyo state ya Insanity kufuatia kugongwa na Electric Shock? How did manage footing his living expenses hadi 2013 aliporejea tena?

4. Je, ni level gani ya Insanity aliyo nayo hadi aweze kujibu swali kwa akili kivile la ama yeye ni agent Wa CIA au sivyo? Hivi insanity iliyotokana na brain twist inamuacha mtu akiwa na akili za kujibu maswali correctly and direct to the point kivile? Hivi insanity inatoa nafasi kwa mtu kukumbuka kuwa kuna kitu alikuwa bado anakielezea ila kukawa na interference somewhere na hivi anahitaji kukimalizia?
 
He talks with confidence that he owns 10 Companies/industries 'Ambazo Nyingi zinazalisha Mbolea na kemikali za kilimo'
Awamu ya 5 inasema inchi ya Viwanda kumbe tuna Mtanzania Mwenye viwanda nje ambapo tukimshawisha anaweza akanzisha kimoja hapa Tanzania Tumsaidie kwnza apone halafu tuone km anaweza leta hivyo viwanda huku(Anzisha Tanzania)
 
Mkuu muda ni kitu kizuri sana, muda ni assets ambayo sio ya kubeza, hebu tumpe muda na hili bandiko likiwepo tutajua, tuombeane uzima ili tuje tena tukumbushane mrejesho. Btw ngoja tuone leo britanicca ana lipi jipya

Pili Mkuu Pascal Mayalla naomba urekebishe hapo kwenye hizo amount. Pauni 10Mil ni around Tshs 30Bil only
huyu jamaa DR SHIKA bora hata angekuwa ndio PREZIDAAA wa bongo sababu anaakili ya mbali mara 1000000 kuliko ya sizonje.
cc: Tetty
jingalao MBITIYAZA Lizaboni Ruttashobolwa Magonjwa Mtambuka
 
Wanabodi,

Tangu Dr. Lus Shika alipojitokeza kununua mahekalu ya Lugumi, na kilichofuatia, kimemfanya kugeuka kuwa a top celebrity all over a sudden, kwa kuwa target ya waandishi na media, hadi kuingilia his right to privacy kwa kumfanya is subject to ridicule na kumfanyia over exposure ya maisha yake. Haya mambo, nimeishawahi kuyazungumza hapa
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna ...
na hapa
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa ...

Jee Dr. Shika ni Mtu wa Kawaida au Insane?.
Haihitaji rocket science or kusomea saikolojia kubaini kuwa huyu mtu sio mzima!, this is a mental case ya insanity, kuanzia wapiga mnada, hadi jeshi letu la polisi, nalo linajumlisha some form of insanity kushindwa kumbaini insane by naked eyes, hadi kumshikilia kwa siku zote hizo, ambazo ni kumtesa tuu bure masikini wa watu!.

Ukimsikiliza, anaongea vitu very straight, but some doesn't make sense, kutokana na mateso makubwa aliyopitia, ikiwemo kupigwa electric shock, vimeathiri ubongo wake, kuanzia watu wa mnada, polisi na waandishi wa habari, hawamtendei haki Dr. Shika na kumfuatilia na kumhoji mara kwa mara, hadi kuingilia uhuru wa faragha yake.

Fedha za Kulipia Nyumba za Lugumi
Mfano akizungumzia fedha za kulipia nyumba za Lugumi, ameonyesha kumiliki kampuni nchini Urusi, na kusema ana account London yenye pauni Zaidi ya milioni 10, ambazo ni Zaidi ya bilioni 300 kwa fedha za Tanzania, anasubiri kutumiwa fedha kulipia nyumba za Lugumi, ila anatakiwa alipie bima ya dola 150 tuu atumiwe fedha zake. Kwenye money transfer zote, kama kuna malipo yoyote, hukatwa direct kutoka kiasi unachohamisha, hivyo kiasi kinachofika kinakuwa ni less. Haiwezekani benki yaenye mabilioni yako, kukuomba utume fedha za bima ndipo utumiwe fedha zako!.

Too Much Over Exposure Hadi Kuingilia His Right to Privacy
Waandishi makini, na responsible media, wanaweza kufanya mahojiano kwa kuuliza lolote for info, lakini hawapaswi kuchapisha kila wanachosikia, mfano kuna waandishi, wamefika nyumbani kwake anapoishi, wakapiga picha chumba chake na kukielezea kilivyo in a way ambayo ni morbid curiosity!, which is very unprofessional journalism.

Insane Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Ulinzi, Protection
Ukiishamjua mtu ni insane, anahitaji msaada, kusaidiwa, protection, kulindwa, usaidizi, heshima, huruma, upendo, na kutoingiliwa faragha zinazotokana na insanity yake, sisi media zetu ndio kwanza ziko busy na exposure!.

Yono Auction Mart nao ni Insane!. Walipaswa Kubaini Hili Tangu Mapema.
Ukisikiliza zile video za mnada, his bidding style, leaves much to be desired, kwa any serious auctioneers alipaswa hili kuwa ameliona mapema na sio kuendelea tuu na mnada, baada ya mnada wa nyumba ya kwanza tuu kukamilika, they should have known better, lakini wakaenda nyumba ya pili hadi ya tatu bila kushtuka!, these Yonos, must be insane too, or they seriously needs their heads be examined!.

Jeshi Letu la Polisi, Nalo Pia Haliwezi Kukwepa Lawama!
Mahojiano ya just 1 hour, yanaweza kuwawezesha polisi makini kujua wana deal na mental case, watu wa aina hii ni watu wanaohita kusaidiwa kwa kuwa handed over kwa ustawi wa jamii, na sio kunshikilia mahabusu for all those days!.

Hitimisho.
Watanzania lets be responsible society, kwa kuwasaidia watu wanaostahili kupata msaada toka kwenye jamii, badala ya kuwadhihaki, kuwakejeli na kuwabeza watu wenye matatizo ya insanity, hatumtendei haki Dr. Shika, nawaomba tumtendee haki mtu huyu!.

Paskali
Rejea.
Dr. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi!! | JamiiForums | The Home ...
Nani zaidi kati ya Dr.Shika vs Dr.Magu | JamiiForums | The Home of ...
Akili ya Dr. Shika sio ya nchi hii, hivi unajua majina yake halisi ...
Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika ...
Nini kifanyike tukio kama la Dr.Lui Shika lisitokee tena ...
Kampuni y dr shika Urusi hii hapa | JamiiForums | The Home of ...
Full details, kampuni ya Dr. Shika ya Moscow, Urusi - Lancefort ...
suala la Mrusi, Dr. Shika wa Lugumi ni planted..haliishi kesho ...
Amini usiamini Dr. Shika atalipa pesa ile | JamiiForums | The Home ...
Kuna hoja za kumshitaki Dr. Louis Shika? | JamiiForums | The Home ...
Mimi sio Dr ila hii ni proof kwamba Dr Shika ni mgonjwa wa akili ...
Uwekwe utaratibu tumchangie Dr Shika. | JamiiForums | The Home of ...
dr.shika anaishi nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of ...
Uhuru wa maisha binafsi kwa Dr Shika | JamiiForums | The Home of ...
Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua nyumba za Lugumi, atoa ...
Dr luis Shika: Aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi ...
Dr Louis Shika kimantiki na kisheria hana kosa | JamiiForums | The ...
Mapya yaibuka,Dr.Luis Shika anadaiwa malimbilizo ya kodi ...

HABARI,
"Pascal Mayalla,
Salute Comrade.

LUMUMBA
 
Yaani Dr. Shika ni bilionea urusi tunabalozi wetu uko urusi ila hawatambui mbaya zaidi anakuja mtu kutoka ulaya alie pelekwa kwa ela ya watanzania kusoma kipindi icho hii Tiss yetu haijui kitu kama icho aise tiss kazi zao nini hapo maeneo??
Kitendo cha Dr.Luis kuja bongo bila serkali kutambua au tiss kujua ni ishara kua inteligensia yetu ni mbovu nidhahiri bado tupo chini aise.

Ila wana jf kwa jinsi urusi ilivo unaona kweli bado Dr. Shika atalast bila misheni nyingine maana Putin sio wa sport sport alafu poa katoa siri zao ( 2000's wamekufa wawekezaji hadi 500 huko urusi).??
 
Back
Top Bottom