Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

Opinion: Dr. Shika Ana Hali Fulani, Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Protection of His Right to Privacy!.

Dr. anavyoonekana si wa kawaida...Kuna siku watu watakuja kustaajabu sana Na watatafuta pa kuziweka sura zao.Pamoja Na dhoruba zote ali/anazopitia ila me Bado naamini yule mzee sio kama tunavyomuona....usidaharau kiumbe yeyote anayeitwa binadamu..utaumbuka.
Exactly...[emoji106]
 
Nikweli jamaa dishi limecheza, lakini ana mengi yaliyojificha kiasi cha kuhitaji msaada sio kutoka kwa jamii bali vyombo vya usalama, waliomvuruga akili wakimuona namna anavyojieleza na kuficha baadhi ya vitu ambavyo kwa mtu ambaye dishi limecheza asingeweza kuficha wanaweza kumuwinda tena na kuhatarisha usalama wake.

Vyombo vya usalama pekee ndivyo vyenye uwezo wa kumlinda huyu jamaa na kulifunga hili suala kwenye vyombo vya habari maana inaweza isiwe salama kwa dr, Binafsi naona kabisa huyu jamaa ni dumped agent wa CIA ambaye ni liability kwa CIA lakini ni asset kwa kGB...
 
Wanabodi,

Tangu Dr. Lus Shika alipojitokeza kununua mahekalu ya Lugumi, na kilichofuatia, kimemfanya kugeuka kuwa a top celebrity all over a sudden, kwa kuwa target ya waandishi na media, hadi kuingilia his right to privacy kwa kumfanya is subject to ridicule na kumfanyia over exposure ya maisha yake. Haya mambo, nimeishawahi kuyazungumza hapa
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna ...
na hapa
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa ...

Jee Dr. Shika ni Mtu wa Kawaida au Insane?.
Haihitaji rocket science or kusomea saikolojia kubaini kuwa huyu mtu sio mzima!, this is a mental case ya insanity, kuanzia wapiga mnada, hadi jeshi letu la polisi, nalo linajumlisha some form of insanity kushindwa kumbaini insane by naked eyes, hadi kumshikilia kwa siku zote hizo, ambazo ni kumtesa tuu bure masikini wa watu!.

Ukimsikiliza, anaongea vitu very straight, but some doesn't make sense, kutokana na mateso makubwa aliyopitia, ikiwemo kupigwa electric shock, vimeathiri ubongo wake, kuanzia watu wa mnada, polisi na waandishi wa habari, hawamtendei haki Dr. Shika na kumfuatilia na kumhoji mara kwa mara, hadi kuingilia uhuru wa faragha yake.

Fedha za Kulipia Nyumba za Lugumi
Mfano akizungumzia fedha za kulipia nyumba za Lugumi, ameonyesha kumiliki kampuni nchini Urusi, na kusema ana account London yenye pauni Zaidi ya milioni 10, ambazo ni Zaidi ya bilioni 300 kwa fedha za Tanzania, anasubiri kutumiwa fedha kulipia nyumba za Lugumi, ila anatakiwa alipie bima ya dola 150 tuu atumiwe fedha zake. Kwenye money transfer zote, kama kuna malipo yoyote, hukatwa direct kutoka kiasi unachohamisha, hivyo kiasi kinachofika kinakuwa ni less. Haiwezekani benki yaenye mabilioni yako, kukuomba utume fedha za bima ndipo utumiwe fedha zako!.

Too Much Over Exposure Hadi Kuingilia His Right to Privacy
Waandishi makini, na responsible media, wanaweza kufanya mahojiano kwa kuuliza lolote for info, lakini hawapaswi kuchapisha kila wanachosikia, mfano kuna waandishi, wamefika nyumbani kwake anapoishi, wakapiga picha chumba chake na kukielezea kilivyo in a way ambayo ni morbid curiosity!, which is very unprofessional journalism.

Insane Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Ulinzi, Protection
Ukiishamjua mtu ni insane, anahitaji msaada, kusaidiwa, protection, kulindwa, usaidizi, heshima, huruma, upendo, na kutoingiliwa faragha zinazotokana na insanity yake, sisi media zetu ndio kwanza ziko busy na exposure!.

Yono Auction Mart nao ni Insane!. Walipaswa Kubaini Hili Tangu Mapema.
Ukisikiliza zile video za mnada, his bidding style, leaves much to be desired, kwa any serious auctioneers alipaswa hili kuwa ameliona mapema na sio kuendelea tuu na mnada, baada ya mnada wa nyumba ya kwanza tuu kukamilika, they should have known better, lakini wakaenda nyumba ya pili hadi ya tatu bila kushtuka!, these Yonos, must be insane too, or they seriously needs their heads be examined!.

Jeshi Letu la Polisi, Nalo Pia Haliwezi Kukwepa Lawama!
Mahojiano ya just 1 hour, yanaweza kuwawezesha polisi makini kujua wana deal na mental case, watu wa aina hii ni watu wanaohita kusaidiwa kwa kuwa handed over kwa ustawi wa jamii, na sio kunshikilia mahabusu for all those days!.

Hitimisho.
Watanzania lets be responsible society, kwa kuwasaidia watu wanaostahili kupata msaada toka kwenye jamii, badala ya kuwadhihaki, kuwakejeli na kuwabeza watu wenye matatizo ya insanity, hatumtendei haki Dr. Shika, nawaomba tumtendee haki mtu huyu!.

Paskali
Rejea.
Dr. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi!! | JamiiForums | The Home ...
Nani zaidi kati ya Dr.Shika vs Dr.Magu | JamiiForums | The Home of ...
Akili ya Dr. Shika sio ya nchi hii, hivi unajua majina yake halisi ...
Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika ...
Nini kifanyike tukio kama la Dr.Lui Shika lisitokee tena ...
Kampuni y dr shika Urusi hii hapa | JamiiForums | The Home of ...
Full details, kampuni ya Dr. Shika ya Moscow, Urusi - Lancefort ...
suala la Mrusi, Dr. Shika wa Lugumi ni planted..haliishi kesho ...
Amini usiamini Dr. Shika atalipa pesa ile | JamiiForums | The Home ...
Kuna hoja za kumshitaki Dr. Louis Shika? | JamiiForums | The Home ...
Mimi sio Dr ila hii ni proof kwamba Dr Shika ni mgonjwa wa akili ...
Uwekwe utaratibu tumchangie Dr Shika. | JamiiForums | The Home of ...
dr.shika anaishi nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of ...
Uhuru wa maisha binafsi kwa Dr Shika | JamiiForums | The Home of ...
Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua nyumba za Lugumi, atoa ...
Dr luis Shika: Aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi ...
Dr Louis Shika kimantiki na kisheria hana kosa | JamiiForums | The ...
Mapya yaibuka,Dr.Luis Shika anadaiwa malimbilizo ya kodi ...
I concur with u Pascal, time will tell
 
Mkuu yote yawezekana kuwa Dr. Shika ni insane au kinyume chake. Kuna issues kwenye maelezo yake zinaacha maswali mengi na hivi kuhitaji highest reasoning kubaini ukweli:

1. Bank Statements alizowapa police walipoenda kumpekea ni za lini na alizitoa wapi?

2. Ni kweli ni International law or prerequiste kukatia BIMA when transferring big cash?

3. Baada ya kurudi Tanzania mwaka 2005 akiwa ametokea kwenye mateso Rusia kwa Mara ya kwanza anadai aliondoka akaenda Spain. Huko Spain alikuwa anafanya nini akiwa katika hiyo state ya Insanity kufuatia kugongwa na Electric Shock? How did manage footing his living expenses hadi 2013 aliporejea tena?

4. Je, ni level gani ya Insanity aliyo nayo hadi aweze kujibu swali kwa akili kivile la ama yeye ni agent Wa CIA au sivyo? Hivi insanity iliyotokana na brain twist inamuacha mtu akiwa na akili za kujibu maswali correctly and direct to the point kivile? Hivi insanity inatoa nafasi kwa mtu kukumbuka kuwa kuna kitu alikuwa bado anakielezea ila kukawa na interference somewhere na hivi anahitaji kukimalizia?
Ni kweli anaweza kuwa ni insane or the opposite,mimi nimeshawahi kuwa na mtu wa karibu yangu,wanaomjua wanasimulia kuwa alikuwa genius kipindi cha ujana wake,lakini navyosikia baadaye akaja kupata hilo tatizo la akili.Ni mtu aliekuwa akitoa usaidizi mpaka kwa baadhi ya wanasheria akiwa katika hiyo insainity na walikuwa wakimlipa kwani profession yake alikuwa ni lawyer.Ni kitu kimoja tu kilikuwa kinamfanya uweze kugundua kuwa ana tatizo la akili,alikuwa haogi mpaka aambiwe na nguo pia habadilishi bila ya kumwambia,lakini anaondoka asubuhi kama anaekwenda kazini,lakini hajulikani anakokwenda,na akirudi anakuwa na gazeti la siku ile,na ana habari zote za siasa au za kiuchumi za siku husika na anazisimulia kwa ufasaha kabisa.Kwahiyo yawezekana hata Shika akawa hayuko vizuri,lakini kama hajapimwa ni nani anaeweza kusema kuwa hana akili kwa kumuangalia tu...
 
Huyu dk inahitaj tumpe nafas nyingine ya kumsikiliza before kujua kwamba ni insane or not, ukiangalia trend ya mahojiano siku nyumba inauzwa na hii ya wiki hii maswali yanazid kujaa kichwan, anajib maswal kiufasaha na kwa utuliv mzur tu though sometimes story zake hazina connection... Lakin nakueleza pascal huyu mtu sio wa kumuundermine.
 
Mkuu muda ni kitu kizuri sana, muda ni assets ambayo sio ya kubeza, hebu tumpe muda na hili bandiko likiwepo tutajua, tuombeane uzima ili tuje tena tukumbushane mrejesho. Btw ngoja tuone leo britanicca ana lipi jipya

Pili Mkuu Pascal Mayalla naomba urekebishe hapo kwenye hizo amount. Pauni 10Mil ni around Tshs 30Bil only
Mi sina jipya zaid ya kusisitiza jamaa alikuwa agent wa CIA Kuhusu akili yake inasemekana alikuwa injected some materials ya kuwewesesha akili yake, na anaonekana yeye kuficha mambo mengi mno
 
Wakati wa zama za Cold War na Tanzania chama kilishika hatamu. U communist ulienezwa katika developing world na vijana walipata nafasi kwenda kusoma elimu ya juu katika nchi za ki-communist kama Cuba, China, Russia na kwingineko.

Katika waliokwenda Russia kuna wakioombwa kujiunga na KGB na walipewa mafunzo na posho kidogo. Wengi wakijua ni kwa kipindi wako Urusi tu wakimaliza shule wanaachana nao.

Kuna familia si wezi kuitaja kwa jina, kaka yao mkubwa alirudi mzima kumbe aliwakimbia KGB bila kufahamu ukijiunga ni kwa maisha yako yote.

Yule kaka aliuliwa kwa risasi Bahari Beach Hotel alipokuwa anakaa akisubiri nyumbavya serikali. Mpaka kesho hajulikani aliyemuua. Rumours has it KGB walimaliza.

Waliokuwepo Dar miaka ya 80 watakumbuka hili tukio.
 
Back
Top Bottom