Wanabodi,
Tangu Dr. Lus Shika alipojitokeza kununua mahekalu ya Lugumi, na kilichofuatia, kimemfanya kugeuka kuwa a top celebrity all over a sudden, kwa kuwa target ya waandishi na media, hadi kuingilia his right to privacy kwa kumfanya is subject to ridicule na kumfanyia over exposure ya maisha yake. Haya mambo, nimeishawahi kuyazungumza hapa
Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna ...
na hapa
Insane Anahitaji Huruma, Kusaidiwa. Sio Kulaumiwa ...
Jee Dr. Shika ni Mtu wa Kawaida au Insane?.
Haihitaji rocket science or kusomea saikolojia kubaini kuwa huyu mtu sio mzima!, this is a mental case ya insanity, kuanzia wapiga mnada, hadi jeshi letu la polisi, nalo linajumlisha some form of insanity kushindwa kumbaini insane by naked eyes, hadi kumshikilia kwa siku zote hizo, ambazo ni kumtesa tuu bure masikini wa watu!.
Ukimsikiliza, anaongea vitu very straight, but some doesn't make sense, kutokana na mateso makubwa aliyopitia, ikiwemo kupigwa electric shock, vimeathiri ubongo wake, kuanzia watu wa mnada, polisi na waandishi wa habari, hawamtendei haki Dr. Shika na kumfuatilia na kumhoji mara kwa mara, hadi kuingilia uhuru wa faragha yake.
Fedha za Kulipia Nyumba za Lugumi
Mfano akizungumzia fedha za kulipia nyumba za Lugumi, ameonyesha kumiliki kampuni nchini Urusi, na kusema ana account London yenye pauni Zaidi ya milioni 10, ambazo ni Zaidi ya bilioni 300 kwa fedha za Tanzania, anasubiri kutumiwa fedha kulipia nyumba za Lugumi, ila anatakiwa alipie bima ya dola 150 tuu atumiwe fedha zake. Kwenye money transfer zote, kama kuna malipo yoyote, hukatwa direct kutoka kiasi unachohamisha, hivyo kiasi kinachofika kinakuwa ni less. Haiwezekani benki yaenye mabilioni yako, kukuomba utume fedha za bima ndipo utumiwe fedha zako!.
Too Much Over Exposure Hadi Kuingilia His Right to Privacy
Waandishi makini, na responsible media, wanaweza kufanya mahojiano kwa kuuliza lolote for info, lakini hawapaswi kuchapisha kila wanachosikia, mfano kuna waandishi, wamefika nyumbani kwake anapoishi, wakapiga picha chumba chake na kukielezea kilivyo in a way ambayo ni morbid curiosity!, which is very unprofessional journalism.
Insane Anahitaji Msaada, Huruma, Upendo na Ulinzi, Protection
Ukiishamjua mtu ni insane, anahitaji msaada, kusaidiwa, protection, kulindwa, usaidizi, heshima, huruma, upendo, na kutoingiliwa faragha zinazotokana na insanity yake, sisi media zetu ndio kwanza ziko busy na exposure!.
Yono Auction Mart nao ni Insane!. Walipaswa Kubaini Hili Tangu Mapema.
Ukisikiliza zile video za mnada, his bidding style, leaves much to be desired, kwa any serious auctioneers alipaswa hili kuwa ameliona mapema na sio kuendelea tuu na mnada, baada ya mnada wa nyumba ya kwanza tuu kukamilika, they should have known better, lakini wakaenda nyumba ya pili hadi ya tatu bila kushtuka!, these Yonos, must be insane too, or they seriously needs their heads be examined!.
Jeshi Letu la Polisi, Nalo Pia Haliwezi Kukwepa Lawama!
Mahojiano ya just 1 hour, yanaweza kuwawezesha polisi makini kujua wana deal na mental case, watu wa aina hii ni watu wanaohita kusaidiwa kwa kuwa handed over kwa ustawi wa jamii, na sio kunshikilia mahabusu for all those days!.
Hitimisho.
Watanzania lets be responsible society, kwa kuwasaidia watu wanaostahili kupata msaada toka kwenye jamii, badala ya kuwadhihaki, kuwakejeli na kuwabeza watu wenye matatizo ya insanity, hatumtendei haki Dr. Shika, nawaomba tumtendee haki mtu huyu!.
Paskali
Rejea.
Dr. Luis Shika ni nani? Tumfahamu zaidi!! | JamiiForums | The Home ...
Nani zaidi kati ya Dr.Shika vs Dr.Magu | JamiiForums | The Home of ...
Akili ya Dr. Shika sio ya nchi hii, hivi unajua majina yake halisi ...
Baada ya kufika Moscow leo nimeamua kufuatilia saga la Dr. Shika ...
Nini kifanyike tukio kama la Dr.Lui Shika lisitokee tena ...
Kampuni y dr shika Urusi hii hapa | JamiiForums | The Home of ...
Full details, kampuni ya Dr. Shika ya Moscow, Urusi - Lancefort ...
suala la Mrusi, Dr. Shika wa Lugumi ni planted..haliishi kesho ...
Amini usiamini Dr. Shika atalipa pesa ile | JamiiForums | The Home ...
Kuna hoja za kumshitaki Dr. Louis Shika? | JamiiForums | The Home ...
Mimi sio Dr ila hii ni proof kwamba Dr Shika ni mgonjwa wa akili ...
Uwekwe utaratibu tumchangie Dr Shika. | JamiiForums | The Home of ...
dr.shika anaishi nyumba ya kupanga | JamiiForums | The Home of ...
Uhuru wa maisha binafsi kwa Dr Shika | JamiiForums | The Home of ...
Dr. Louis Shika asisitiza nia ya kuzinunua nyumba za Lugumi, atoa ...
Dr luis Shika: Aeleza Magumu aliyopitia hadi akatoroka Urusi ...
Dr Louis Shika kimantiki na kisheria hana kosa | JamiiForums | The ...
Mapya yaibuka,Dr.Luis Shika anadaiwa malimbilizo ya kodi ...